Bill Nass - Labda текст песни

Текст песни Labda - Billnass



Nenga!!
Billnass, billnass
Billnass, billnass
Labda...(labdaaaa)
Labda nizikwe
Labda nizikwe
Labda nizikwe
Labda nizikwe
Nauona mwisho wetu hauna mipaka
Naiona future yetu inavyofata
Naiona picha yetu inavyong'ang'ang'ang'aa
(Nga'ang'ang'ang'aa)
Labda nizikwe
Labda nizikwe
Labda nizikwe
Labda nizikwe
Kila nikimwomba Mola (Mola)
Ni juu yako
Ila ndo vile nikiongea na Mola
Huwa ni siri yangu
Zawadi za thamani siku hizi sikupi tena
Ahadi za chumbani mpenzi
Sitimizi vyema(vyema)
Je? Ni kipi chema umenibebea mtoto
Lakini sikubebi vyema
Unadhani sikupendi tena
Au labda nishakutema
Unalaani unitaki tena
Maana na fanya vitu flani
Vina kuacha kuwa dailema
Sijui ndo kuwa aje
Au labda ndo unyangema
Labda unaniona malaya
Ukidhani sikupendi tena
Labda nizikwe
Labda nizikwe
Labda nizikwe
Labda nizikwe
Nauona mwisho wetu hauna mipaka
Naiona future yetu inavyofata
Naiona picha yetu inavyong'ang'ang'ang'aa
(Nga'ang'ang'ang'aa)
Labda nizikwe
Labda nizikwe
Labda nizikwe
Labda nizikwe
Kila nikimwomba Mola (Mola)
Ni juu yako
Ila ndo vile nikiongea na Mola
Huwa ni siri yangu
Natamani shida hata uzijue
Ili hata kwenye njaa usizingue
Yakiletwa mabala tuyajue
Ili wenye vijiba vyao viwaue
Najihisi niko vitani na sina hata weapon
Na fight for ma love
Me na fight for ma freedom
Ni wewe tuu na mziki
Ndo umefanya niwe hivyo
Kujitoa mhanga me siyo mtu wa matatizo
Think about it
Nimechange mpaka behaviour
Think about me
Kuna madawa ya kulevya
You think wangapi
Wamekufa kwa uteja
Don't you think you are lucky
Mpaka leo ujanipoteza
Labda nizikwe
Labda nizikwe
Labda nizikwe
Labda nizikwe
Nauona mwisho wetu hauna mipaka
Naiona future yetu inavyofata
Naiona picha yetu inavyong'ang'ang'ang'aa
(Nga'ang'ang'ang'aa)
Labda nizikwe
Labda nizikwe
Labda nizikwe
Labda nizikwe
Nauona mwisho wetu hauna mipaka
Naiona future yetu inavyofata
Naiona picha yetu inavyong'ang'ang'ang'aa
(Nga'ang'ang'ang'aa)
Labda nizikwe
Labda nizikwe
Labda nizikwe
Labda nizikwe
Labda nizikwe(labda)
Labda nizikwe(labda)
Labda nizikwe(oh yeah!)
Labda nizikwe



Авторы: William Nicholas Lyimo


Bill Nass - Labda
Альбом Labda
дата релиза
10-07-2018

1 Labda



Внимание! Не стесняйтесь оставлять отзывы.