Boondocks Gang feat. Wakali Wao - Madam текст песни

Текст песни Madam - Boondocks Gang , Wakali Wao



Yao Yao, Boondocks Gang gang Yoh prrr Kang Kang Wakali wao, yao yao
Ndio hao Buda nachorea huyu madam Buda zimeraru ukadance
Weekend ndio hiyo imeland
Mkoba akilalisha unda plan
Shusha izo keg na majug
Eeh itisha mzinga bana,
Zikikam turorie Hakuna ithee ya yut man, we turorie
Odi kabisa trorie turorie
Meda ofisi turorie turorie
Alafu zikishika shuka na madam
Shuka na madam, shuka na madam Alafu zikishika shuka na madam
Shuka na madam, shuka na madam Simama kwa miguu rusha mikono juu
Ni kangoma kamenice anza tu kubanju Eey ushageuka umeshika tu ukuta
Cheki tu kwa kichwa umeshuka tu matuta
Ona vile nyuma umejaza tu mauta
Me kwenye mdomo hani mkono niko luta Kama zimeshika tuwakuna
Nawachilia Madem wakikam tunawapandilia Starehe yetu bei tumegharamia
Cheki masaa, tumeshachelewa
Sasa nani atadrive na tumeshalewa
Ebu chunga hao madem wanaweza kupora
Ju wengi wa huko ndani ni wakora
Cheki sasa zetu zimenyc
Hiyo glass yangu niongezee zile ice Najua nitableki toka sasa mpaka
Night Eeh itisha mzinga bana,
Zikikam turorie Hakuna ithee ya yut man, we turorie
Odi kabisa trorie turorie
Meda ofisi turorie turorie
Alafu zikishika shuka na madam
Shuka na madam, shuka na madam Alafu zikishika shuka na madam
Shuka na madam, shuka na madam
Odi wa Murang'a amekam turorie
Makeg zikiisha muratina turorie
Tukimix na kindovu zitugorokie
Ah mi nakata biko hadi munikururie Kama thutha iko fiti mi nariada
Na ka itabidi nitaseti hadi wada Kimahuru toa
Kutu hadi nikiwa jaba Nyorea mi hapana tambua lawama
Eeh itisha mzinga bana,
Zikikam turorie Hakuna ithee ya yut man, we turorie
Odi kabisa trorie turorie Meda ofisi turorie turorie
Alafu zikishika shuka na madam Shuka na madam, shuka na madam
Alafu zikishika shuka na madam S
Huka na madam, shuka na madam
Yoh, nabonga tu Arabic, ninabonga tu na ngeli
Hawa waroro wamekam wamechrome ka bacteria
Nataka tu nilewe nibebwe hadi ma area
Ka daily ya kusere tu na pongi tu ya Maria
Shikisha njugu na veve, tei ni kachok Hapa mi ndio sponsor,
Mi ndio the host Piga tot, piga chok, na makwela na matoast
Kibash kiko light kimeanza tu kuburn yoh
Ki u-Miguna miguna, baby come, baby come
Za madem zimenice wameanza tu kuturn
Za wagenge zimeshika ni kushuka na madam
Mi nadai figure 8 ndio niskie tu utam
Kata kutu toa nyege,
Punguza mahanjam Kuku danger kuwamanga tunapenda vitu tam
Na kama wewe ni fisi kama line nitakucross yoh
Seti ki sssh, kiende chain mos mos Shuka na madam,
Mjulubeng ka ni gun Ruka hiyo plan kuruwen ndio niburn Amesanif pedi
Kuna mresh ashawet Kameseti already si unajua we ndo next Kamemada
Pienga si unajua hii ni case Anadai emoji hakuna haja ya kutaste
Anadai Konyagi na chaser za ma
Krest Cheza kunguni na sijui ka ni pest
Eeh itisha mzinga bana,
Zikikam turorie Hakuna ithee ya yut man, we turorie
Odi kabisa trorie turorie
Meda ofisi turorie turorie
Alafu zikishika shuka na madam Shuka na madam, shuka na madam
Alafu zikishika shuka na madam Shuka na madam, shuka na madam



Авторы: Edward Kimachu Irungu, Francis Macharia, Tony Kinyanjui


Boondocks Gang feat. Wakali Wao - Madam
Альбом Madam
дата релиза
08-11-2019

1 Madam




Внимание! Не стесняйтесь оставлять отзывы.