Boondocks Gang - Rieng текст песни

Текст песни Rieng - Boondocks Gang



Gang-gang
Genge la Bundoksi
Nipeleke na rieng
Nipeleke na rieng
Kikiwaka man npeleke na rieng
Zikinyanya npeleke na rieng
Mangoko wakifika basi npeleke na rieng
Niko rieng na vifaa wataniuwa
Zimeshika ni vifaa watiniuwa
Kwanza rieng uyo bana atakuuwa
Shikilia bana we atakuuwa
Nipeleke na rieng
Nipeleke na rieng
Kikiwaka man npeleke na rieng
Zikinyanya npeleke na rieng
Mangoko wakifika basi npeleke na rieng
Sare jooh ngeus bana atiniuwa
Akidai rungu bana atanijuwa
Ni mhot kuna vile ntaunguwa ah
Na maziwa jooh mi sitapumuwa ah
Kuna njeve na mistaki juwa ah
Uko ndethe na mistaki juwa ah
Niko rieng na madem wamejibeba
Afathali nimpige kuni nimejiweza
Kani chura niko lojo nishamkemba
Lenga sura miitabidi nimemteka
Ka ako jaba niko jaba na ma temper
Na mastingo zile ngori si atahepa
Alijochocha round 3 akateseka
Piga dry dry chaser uliweka?
Zima bulb now giza iko better
Unda home siutapigwa hadi ngeta
Niko rieng na vifaa wataniuwa
Zimeshika ni vifaa wataniuwa
Kwanza rieng uyo bana atakuuwa
Shikilia bana we atakuuwa
Nipeleke na rieng
Nipeleke na rieng
Kikiwaka man npeleke na rieng
Zikinyanya nipeleke na rieng
Mangoko wakifika basi mpeleke na rieng
Jaza dash wako form wako BA
Leta shash niko rieng na ma DF
Ongeza jug sina weng ya ma BM
Awo ma ngeus si uride bila DL
Takataka jenga kwako chuki ah
Zimeshika ju Jamaican cookies ah
Nina feel ka teacher on duty ah
Si u happen hadi Na suti ah
Namslayqueen wabebwe na duthi ah
Na samosa nizile za puthi ah
Unda sana kama unaudhi ah
Nguo fupi nizile za uzi ah
Nekee mudu man mi huwanga rieeng
Niite sonko man venye nazitweeng
Gikuyu wa Murang'a na kamkobareeng
Ka wagithaka man ni kisapereeng
Mi huwasha ngwai adi kwa Baraza
Niko bash na ma ngoko ka saba
Zikishika lamba lolo chora saba
Rombosa rombosa adi umwage haga
Niko rieng na vifaa wataniuwa
Zimeshika ni vifaa wataniuwa
Kwanza rieng uyo bana atakuuwa
Shikilia bana we atakuuwa
Nipeleke na rieng
Nipeleke na rieng
Kikiwaka man nipeleke na rieng
Zikinyanya nipeleke na rieng
Mangoko wakifika basi mpeleke na rieng
Nishike jaba nishikishe na wathi
Ama akuna ati baze ya wazii!
Akuna Uber mulikam na mathree
Turirime tukiburn izo trees



Авторы: Tony Kinyanjui, Francis Macharia, Edward Kimachu Irungu


Boondocks Gang - The Collection
Альбом The Collection
дата релиза
23-03-2020




Внимание! Не стесняйтесь оставлять отзывы.