Butera Knowless - Peke Yangu текст песни

Текст песни Peke Yangu - Butera Knowless



Maneno unayo sema ni mazuri
Tena matamu sikioni
Ila tatizo ni moja tu uni ambie peke yangu
Je ni Mimi peke yangu Niko peke yangu na Ku
Ambia uta Juta kama Unani penda peke yangu(×2)
Moyo wangu wote ni wako
Ila sijue kama wako ni wangu
Sina shaka kama unani penda japo naji
Uliza kama Unani penda peke yangu baby baby
Kwalo unayo ni fanyiya kumbe unayo fanyiya wengine
Kwa Nini baby?
Ooouuuh
Ukini penda aaaa peke yangu uuu
Uta saau wengine kwangu utakua Ku bebea tuh
Maneno unayo sema ni mazuri tena matamu
Sikioni Ila tatizo ni moja tu uni ambie peke yangu
Je ni mimi peke yangu Niko peke yangu naku
Ambia uta juta kama Unani penda peke yangu (×2)
Mimi una ni toshaaaa
Sijue kama na wewe naku tosha
Akuna ambacho sikuku fanyiya aukukukosa
Chochote kwangu sijue kwa nini auriziki
Sipendi kuku changia wakati nili ku
Chagua kwa sababu nime choka Ku vumilia
Ukini penda aaaa peke yangu uuu
Uta saau wengine kwangu uta kua ku bebea tu
Maneno inayo sema ni mazuri
Tena matamu sikioni ila tatizo ni moja tu uniambie peke yangu
Je ni mimi peke yangu niko peke yangu naku
Ambia uta juta kama Unani penda peke yangu(×3)



Авторы: i.k clement


Butera Knowless - Best Of Butera Knowless
Альбом Best Of Butera Knowless
дата релиза
13-12-2017




Внимание! Не стесняйтесь оставлять отзывы.