Текст песни Looking For love (Radio Edit) - Phatt , Delivio Reavon
Bora
nikose
pesa
mali
Nyumba
Gari
Niwe
nawe.
Nifanye
kazi
bila
Salary
Yote
heri
Niwe
nawe
Ninavyotaka
niwe
nawe
Hawapendi
tuwe
nieleweee
Ninavyotaka
niwe
nawe
I
wish
ujue
Kama
vipi
sema
mamy
Nini
nikufanyie
Unipende
nikupende
milele
uwe
na
mie*2
Am
Looking
for
you
Looking
for
you
Ndoto
yangu
ipo
siku
Nitakuwa
nawe
Na
nina
imani
nitaweza
Nitashinda
penzi
lako
Ntampenda
nani
(Kama
sio
wewe)
Ntamtaka
nani
(Kama
sio
wewe)
*2
Kama
vipi
sema
mamy
Nini
nikufanyie
Unipende
nikupende
milele
uwe
na
mie*2
Am
Looking
for
you
Looking
for
you
Ni
aina
gani
ya
Juu
is
this
Macho
juu
juu
Sina
ubishi
Roho
Juu
Mikono
juujuu
Nimesalimu
amri
Nakuhakikishia
Tafsiri
Ya
maneno
kwa
vitendo
Hakuna
maneno
nimekwiva
Nipe
kitengo.
Niache
kushika
tama
Nisimame
nikushike
salama
Nisikupige
mtama
Nisikuvute
ka
kuku
kwa
mtama
Yote
sifa
kwa
maulana
Uumbaji
huu
sioni
kasoro
bwana
Kupendana
ni
kulindana
Kwa
kila
kesi
niifanye
dhamana.
Am
looking
for
you
Looking
for
you
Rybee!!
1 Looking For love (Radio Edit)
2 Looking For love (David Gravell & Michael Mendoza Remix)
3 Looking For love (Rishi Romero Ghetto Electric Remix)
4 Looking For love (Carita La Nina Remix)
5 Looking For love (Jeroen Cortello & DanOden Remix)
6 Looking For love (Soul Cartel's Feel Good Experience)
7 Looking For love (Stefan Vilijn Sunset Remix)
Внимание! Не стесняйтесь оставлять отзывы.