Della Reese - The Touch of Your Lips (Remastered) текст песни

Текст песни The Touch of Your Lips (Remastered) - Della Reese




Hello
Ni mimi
Baada ya miaka na mikaka
Je twaweza kukutana
Turegelee
Yote
Wanasema muda unaponya
Mbona bado me naumwa?
Hello
Waniskia
Niko pwani nikiota juu ya vile tulikua
Kama vijana
Tulipokua huru
Nimesahau ilivyohisi kabla dunia ianguke
Tofauti
Baina yetu
Na maili ni milioni
Hello toka kwa mataa
(Kwa mataa, kwa mataa)
Mara elfu kakupigia
(Pigia, pigia)
Nikiomba msamaha
Kwa niliyotenda
Lakini m-teja
Hapitikani
Hello toka kwa mataa
(Kwa mataa, kwa mataa)
Naweza sema nimejaribu
(Jaribu, jaribu)
Mpenzi nisamehe
Kwa kukuvunja moyo
Lakini ni kama haikujalishi
Kamwe
Hello
Waambaje?
Ni kawaida yangu kujizungumzia
Oh, niwie radhi
Natumai utaniwia radhi
Je uliweza hama toka
Ule mji uliokuboesha?
Sio siri
Kua me na wewe
Tunapitwa na masaa
Hello toka kwa mataa
(Kwa mataa, kwa mataa)
Mara elfu kakupigia
(Pigia, pigia)
Nikiomba msamaha
Kwa niliyotenda
Lakini m-teja
Hapitikani
Hello toka kwa mataa
(Kwa mataa, kwa mataa)
Naweza sema nimejaribu
(Jaribu, jaribu)
Mpenzi nisamehe
Kwa kukuvunja moyo
Lakini ni kama haikujalishi
Kamwe



Авторы: Ray Noble



Внимание! Не стесняйтесь оставлять отзывы.