Текст песни Ukimwona - Diamond Platnumz
Mungu
aliumba
dunia,
mapenzi
tangu
na
tangu
Yashanipiga
sasa
sina
budi
nilewe
Siwezi
kung'ang'ania
maana
sio
fungu
langu
Japo
ni
shida
ila
nitabaki
mwenyewe
Ila
mpe
shukrani
kwa
kuniumiza
suraya
Mwambie
mi
bado
mahututi,
nauguza
kidonda
changu
Na
asisikie
hasirani,
mwambie
mapenzi
mabaya
Hata
angali
hai
Kairuki,
asingetibu
gonjwa
langu
Kutwa
nzima
moyo
unanidunda
dunda
(dunda)
Sina
amani
ninasaga
rhumba
(rhumba)
Ah
unanidunda
dunda
Sema
chine
tembee,
moyo
Unanidunda
dunda
(mummy
moyo)
Sina
amani
ninasaga
rhumba
(oh
mimi)
Unanidunda
dunda
Eeh,
ukimwona,
ukimwona
Ukimwona,
ukimwona
Ukimwona,
ukimwona
We
nenda
umwambie
marafiki,
marafiki
wabaya
Tena
wengi
waongo,
wala
wasimdanganye
Oya
ni
mashoga,
rafiki,
oh
marafiki
wabaya
Oh,
mmh
Tatizo
mi
bado
nilipoteleza
nikakosa
sipajui
Mpaka
akafunga
virago
na
akaamua
kuondoka
sitambui
Mbaya
kinachoniumiza,
maneno,
neno,
maneno
Mara
kwa
ndugu,
rafiki,
kwa
nini
anawapa
misemo?
Na
ajaribu
papasa
maana
kwa
macho
hataona
chochote
Ila
ndo
kutwa
mikasa
na
ninazidi
kuanguka,
niokote
Kutwa
nzima
moyo
unanidunda
dunda
(dunda)
Sina
amani
ninasaga
rhumba
(rhumba)
Ah
unanidunda
dunda
Sema
chine
tembee,
moyo
Unanidunda
dunda
(mummy
moyo)
Sina
amani
ninasaga
rhumba
(oh
mimi)
Unanidunda
dunda
Eeh,
ukimwona,
ukimwona
Ukimwona,
ukimwona
Ukimwona,
ukimwona
Внимание! Не стесняйтесь оставлять отзывы.