Diamond - Kamwambie текст песни

Текст песни Kamwambie - Diamond



Nenda kamwambie
Jinsi navyo mpenda mi
Na kama mapenzi bado
Mwambie ntayaongeza mi
Nasema kamwambie
Jinsi navyo mpenda mi
Na kama mapenzi bado
Mwambie ntayaongeza mi
Sio ningie mori, nyota, na mbala mwezi
Kwa vile mali yake yeye
Natamani ila tatizo siwezi
Labda ingefanya nielewe
Si alinifunza mapenzi, nilikuwa sijui kamwambie
Akanidekeza kishenzi, kwa nyimbo nzuri
Nimwimbie
So asidanganywe na gari burudani na fedha,
Mimi akanichukia
Akalishusa thamani penzi nalompenda, kisa
Mvinyo na bia
Asidanganywe na gari burudani na fedha, mimi
Akanichukia
Mmmh, mwambie asisikie mapenzi, moyo
Wangu unaumia, eeh
(Repeat)
Nasema siku hizi hakuna fungate, mapenzi
Hayana thamani
Hivyo mwambie wanaopenda wachache, wengi
Watamani
Uuuh, wanaanzaga kwa tafadhali, wakishapewa
Wanapotea
Mmh, nenda mwambie ajihadhari, na dua njema
Nawombea
So asidanganywe na gari burudani na fedha,
Mimi akanichukia
Akalishusa thamani penzi nalompenda, kisa
Mvinyo na bia
Asidanganywe na gari burudani na fedha, mimi
Akanichukia
Mmmh, mwambie asisikie mapenzi, moyo
Wangu unaumia, eeh
Akamwambie Repeat till fade
(Bridge)
Yeah, I was being around, but thanks, Bob
Junior
Mr Chocolate Flava, now I am here
Sharoboo records
It's Diamond Platinumz baby
Holla Back Ladies, It's time to hang on to your love
(Added by George ellinino)



Авторы: Diamond


Diamond - Kamwambie
Альбом Kamwambie
дата релиза
11-08-2015




Внимание! Не стесняйтесь оставлять отзывы.