Dully Sykes feat. Marioo - Weka текст песни

Текст песни Weka - Dully Sykes , Marioo



Oooh nooo this is serious
Father and son shoko shoko
Kama ingekuwa kandanda we kegere
Kama mboga njegere
Kwenye ngona asili we segere
Na kama ndege nterere
I like the way unavyo chumaga chembere
Unanifungaga kengele eeh
Kama kuku kaona mchele, akili inanihama
Hama
Yani kama mazinga ombwe (mbwe)
Hayo maajabu, hizo mbwe mbewe mbwe
Ooyaah eeh
Na alivyo ndembe ndembe mwenzako nateseka
Asa weka weka weka (aaah haa)
Asa weka weka weka ndani (ayaaah)
Asa weka weka weka (aaah haa)
Asa weka weka weka ndani (ayaaah)
Basi nipe hilo bam bam bam nipate kufarijika
Eeeh baby girl come come come nijione nimetajirika
Eeeh I say baby watagwan
I treat you like a princess you are my number one
Nakupenda kichizi tupo toka zamani
Ingawa tupo easy kwa penzi la thamani
Natunaliweka busy kama kipanya na pan
What a bam bam what a bam bam
What a bam bam, bam bam bira, bam bam
Rafiki pembeni achana na akina nanii
Kama unataka hii nikupinde namna hii
Kumbuka mi nazimika na bodi
Andawea mi nafungua na kodi
Asa weka weka weka (aaah haa)
Asa weka weka weka ndani (ayaaah)
Asa weka weka weka (aaah haa)
Asa weka weka weka ndani
Eeeh! Father and Son!
Honey I say bigiri kubam bam (chomeka)
Nachomeka pale kutam tam (chomeka)
Palipodizi maham ham (chomeka)
Aliyepuka mpaku bam bam (chomeka)
Eya weka hahaha (aaah haa)
Hehe aya!



Авторы: Dully Sykes


Dully Sykes feat. Marioo - Weka
Альбом Weka
дата релиза
13-09-2019

1 Weka



Внимание! Не стесняйтесь оставлять отзывы.