Текст песни Mafanikio - Fid Q , Barakah The Prince
Kujisikia
nipo
juu
mie
sitaki
hizo
deals
Sipendi
makuu
hivyo
nitabaki
kuwa
real
Na
kila
track
ya
Q
aaah,.
Ni
wazi
utaifeel
Ni
wazi
iko
full
aah
mzazi
ninakill
Ninamwagika
kama
Masika.
Ninaheshimika
na
sio
kanjibai
Kwa
huu
mziki
wa
bajaji
Hadi
kwa
washkaji
wenye
macadillac
Unawashika
ile
kibabylon
Unauzika
sana
maghetoni
Ilimradi
tu
wawe
happy
more
Midadi
tu
ila
party
no
Mkisinzia
mtaniudhi
nishawapa
vyeo
Tuwape
wapuuzi
waliodai
hii
haiuzi
haya
matokeo
Safari
ni
hatua,
kufika
inabidi
uianze
Haina
kukita
au
kusita,
inabidi
ukaze
Ingia,
ongoza
au
fuata
njia,
kukimbia
ni
mwiko
Kuanzia
ulipo
sio
sawa
na
kubakia
ulipo
Nikisema
'chini
hapana'
nina
maana
fanya
unyanyuke
Na
ukiamini
umesimama
mwana.
Komaa
usianguke
Ukijituma
na
neema
inakaribia
Nyuma
walio-give
up
mapema
wangekaza
wangeifikia
Penye...
Happy,
jitusu,
unafki
usiuruhusu
Yajue
ya
kuzingatia
ili
uachane
na
yasiyokuhusu
Kibongobongo
longolongo
shazi
Endelea
kusaka
mchongo
hata
ukipata
kazi
Tunachukiana?
Ndio.
Ila
sio
sababu
kuacha
riadha
ya
mafanikio
Ongeza
mbio
Sababu
kila
mtu,
kila
kona
anasaka
mafanikio
Haukungoji
wakati.
Ooh
wewe
Zinapita
nyakati.ooh
wewe
Muda
wako
bahati.
Oh
wewe
Na
kughairisha
kisa
haupati
sapoti
Ni
kujificha
na
kuuliza
giza
Iko
wapi
ile
tochi?
Haupati
ile
noti
Na
wakati
wa
ule
uboss
ushapotea
Hautaki
ukose?
usiache
ofcoz
endelea
Utafanikiwa
kwa
unachojua
au
unachofanya
Wachache
ndio
hutusua
kwa
jinsi
tu
wanavyoonekana
Mafanikio
hayaji
ukikata
tamaa
Yenyewe
huwafuata
wanaojituma
Na
wale
wasiosukumwa
na
njaa
Sipigi
kila
dili
mipaka
imezingatiwa
Sitaki
kuwa
tajiri
ninataka
kufanikiwa
Ili
kuheshimiwa
kwanza
ni
lazima
ujiheshimu
Lakini
kufanikiwa
ni
maujanja
tu
sio
lazima
elimu
Ili
kuyadaka
wengine
hugeuka
wabaya
Mafanikio
kwenye
kuyasaka
wengine
hugeuka
malaya
Hugeuka
was(i)o
haya
Kutwa
utawakuta
kwa
babu
Na
anayefanya
mambo
ya
maana
Huwa
hana
muda
wa
kuyahesabu
Kwenye
kuyasaka
hakikisha
haufilisiki
Haupotezi
maisha
au
vile
vitu
havinunuliki
Sio
kama
hatucheki
kwasababu
tumezeeka?
Nope,ni
tunazeeka
kwasababu
hatujawahi
cheka
Tunachukiana?
Ndio.
Ila
sio
sababu
kuacha
riadha
ya
mafanikio
Ongeza
mbio
Sababu
kila
mtu,
kila
kona
anasaka
mafanikio
Haukungoji
wakati.
Ooh
wewe
Zinapita
nyakati.ooh
wewe
Muda
wako
bahati.
Oh
wewe
Utumie
basi...
Eeeh
eeeh
Una
mpenzi
(na)
uko
lonely?
Im
sorry
ndugu.
Haujafanikiwa
Maisha
ni
kama
boli,
magoli
ndio
kufanikiwa
Oooh
ooh
oooh.oooh.
Ndio
kufanikiwa
Kila
mtu
anataka
mafanikio...
Hhhmmm.
Hhhhmmm.
Oh
mafanikio
Oh
mafanikio
Kila
mtu
anataka
mafanikio
1 Mafanikio
2 Masta ( Intro)
3 Mzee Mbuzi
4 Fresh
5 Ole Chizza
6 Hustle
7 Maselabration
8 Big
9 Boss
10 Bongo Hip Hop
11 Fame
12 Kiberiti
13 Kemosabe
14 Kitaaolojia ( Interlude)
15 Familia
16 Tajiri Yangu
17 Hello Darling
18 Ulimi Mbili
19 Love
20 Mama Cheusi
21 Sky High
22 Hauniambii Kitu
23 Sumu
Внимание! Не стесняйтесь оставлять отзывы.