Iphoolish feat. Fathermoh & Thee Exit Band - Gongo текст песни

Текст песни Gongo - Iphoolish , Fathermoh




Nikilewa napenda utoto
It is a weekend tunachoma photo
Tulewe fofo fofo fofo
Nibebwe gongo gongo gongo
Iphoolish
Uslambe chupa itisha ingine ntalipa lipa
Navunja mfupa na waiter body ni ya chupa chupa
Zishalipuka simind hangover ni ya muda muda
Mbona unaogopa kubuy kondiko kwa duka weuwe
Wakuje four four four, four
Wote mangoko Ngoko
Bash huishia kwa choo nikidai sitailewa like before before
Nikilewa napenda utoto
It is a weekend tunachoma photo
Tulewe fofo fofo fofo
Nibebwe gongo gongo gongo
Fathermoh
Me huwaconfuse nikianza foursome dem three na kukumanga
Kukuru kakara kiki na kaka
Pombe sipendi kwa list me naikata
Rusha mikono kiuno dhamhi za ngono
Geuka mpe mgongo lalisha mwawuowowo wuowo
Can't I can't I jinyonga aah
Niko na masaa ya mtoa ngotha aiya
Ushaipost dem wa ronga comments ni sahii ndio unaigonga
Nikilewa napenda utoto
It is a weekend tunachoma photo
Tulewe fofo fofo fofo
Nibebwe gongo gongo gongo



Авторы: Mike Makori


Iphoolish feat. Fathermoh & Thee Exit Band - Yinga
Альбом Yinga
дата релиза
17-03-2023



Внимание! Не стесняйтесь оставлять отзывы.
//}