Iphoolish feat. Mbuzi Gang, Thee Exit Band & Unco Jingjong - Napenda Wote текст песни

Текст песни Napenda Wote - Iphoolish , Mbuzi Gang




Black market records
Yeah man
London london london
A-a-alhamdulilai
Napenda waschana walai kanlai
Awe mjaka mkamba maasai
Kiherehere ama pia awe mchawi
Napenda wote
Wote napenda wote
Thate ama awe forte
Mweupe adi chocolate
Napenda wote
Wote napenda wote
Thate ama awe forte
Mweupe adi chocolate
Unco (lolololo)
Am looking fi a Cinderella to fit in the shoe
Nataka mali moja fisa kijamo true
Uki vixien you are living truth
Uber yani siezi tosheka na wewe tu
Some call it manipulation others call it humanisation
But truly its just an infestation of booty and bitches in this nation
Kenya is a big big nation and every pretty girl can reserve population
Uncojingjong
Nataka kitu muiru kitu lazma ikue new
Kitu inakaa fore nikitu imetoka majuu
Napenda wote
Wote napenda wote
Thate ama awe forte
Mweupe adi chocolate
Napenda wote
Wote napenda wote
Thate ama awe forte
Mweupe adi chocolate
Aah saa ingine uskii uso yangu sit
Wee ni mwoga naskia wee hupiga tu miti
Mziki dawa lakini kijana ha-seek
Bila mat mangels wanadai nipa manamba
Aah, shaka slim dick mahali popote ataipata
Nilimpeleka date na ganji ya sadaka
Juu slayqueen anajua tu kupika pasta
Mi napenda wote (napenda wote)
Kila type ni yangu kwotekwote
Stoki klabu leo hadi mi niokotwe
Akuku-danger kaa vibaya Sandra niokote (okote)
Walete wote si
Napenda wote
Wote napenda wote
Thate ama awe forte
Mweupe adi chocolate
Napenda wote
Wote napenda wote
Thate ama awe forte
Mweupe adi chocolate
Yeah
Gava inani-tax juu ya taxing facts
Kitu sijai give ni a faxing facts
Mbogi iko na silaha intact
Ala! Kwani hujui jokes ni cap
Kwa app alisema anakuja asap
Fare nlituma nika end up ku fap
Fun fact, fan alikua fucked up
Alikuja bash na anadai kutoka park
Tulimpata backyard amesunda backpack
Alipigwa soki after tumeransa
Una run mouth huku tuna stack back
Nakaa unakaa chawa tuna crush back
A-a-alhamdulilai
Napenda waschana walai kanlai
Awe mjaka mkamba maasai
Kiherehere ama pia awe mchawi
Napenda wote
Wote napenda wote
Thate ama awe forte
Mweupe adi chocolate
Napenda wote
Wote napenda wote
Thate ama awe forte
Mweupe adi chocolate



Авторы: Mike Makori


Iphoolish feat. Mbuzi Gang, Thee Exit Band & Unco Jingjong - Yinga
Альбом Yinga
дата релиза
17-03-2023



Внимание! Не стесняйтесь оставлять отзывы.
//}