Izzo Bizness - Utarudishwa Mbeya текст песни

Текст песни Utarudishwa Mbeya - Izzo Bizness



Attention!!!
This Is Dirty Mode Record and One The Incredible
I got ma big boy Belle 9
Mbeya City
Triss, word up
Is on top now, whooohh
Here we go now
Mateso dhiki bado hadithi haijaisha
Vya kurithi wamebinafsisha
Njaa adui mkubwa na silaha zimetuishia
Tusaidieni nyie wakubwa tuliwachagua
Mpenzi tabu kazichoka na bado ananizimia
Tachoka shona viraka wadau wanamvizia (woohhh)
Yataka moyo wapinzani kila kukicha
Ubinafsi chuki na uchoyo argh kila kukicha
Viganja vinawasha na pesa haionekani
Habari nawapasha tumtafute mchawi nani
Sio Mbeya dunia nzima wote tuingie vitani, Say what??
Dunia nzima wote tuingie vitani... whooh
Graph yangu ipo kasi inapanda hata haishuki
Wanao-fake ni wafuasi sasa imefika tamati
Hawapindui hawajui wote kwangu ni masokolo
Mimi msondo hawajui wao Twanga Chipolopolo
Izzo... What??
Izzo... That's ma name
Utarudishwa Mbeya
Izzo... what you saying
Izzo... Yeaaah
Utarudishwa Mbeya
Izzo... Na Naniii?
Izzo Izzo... Utarudishwa Mbeya
What??
Izzo... acha kuwabana, Izzo... kausha
Utarudishwa Mbeya
Shauri Yakooo
Nawasoma uwezo hawana nawabana
Nawamwagia zangu laana
Uzito wao bado mdogo kilo zetu hazifanani
Siogopi kuwapa kisogo kusema wamseme nani
Haya kweli mapinduzi thanks a lot FA
Hawanitishi hawa makuzi anga hizi hawasogei
Sitishiki na mizoga watishieni hao fisi
Wanakesha wanaroga siogopi nawapa stress
Nawapuliza hawaenei wanahofia
Wameanza mimi namaliza hii mvua nawanyeshea
Nawatwanga nawapepeta muulize Asha Baraka
Melody tamu za matata mpaka utamu umepita
Movie hii sio bongo si-shoot kwa siku moja
Mooh... mi ni star mwenye usongo uta-dead kwa hizi hoja
Wabunifu wa mavazi sikujua kumbe ma-model
Hivi haikushangazi kwa IZZO ukileta nyodo...
Aaannhhh
Izzo... What??
Izzo... That's ma name
Utarudishwa Mbeya
Izzo... what you saying
Izzo... Yeaaah
Utarudishwa Mbeya
Izzo... Na Naniii?
Izzo Izzo... Utarudishwa Mbeya
What??
Izzo... acha kuwabana, Izzo... kausha
Utarudishwa Mbeya
Shauri Yakooo
Yote wananisema mimi
Siwezi loose nimejipanga isitoshe najiamini
Got image good looking yes ladies they love me
Still roll and rocking and my hood still shining
Big contracts I keep on signing hommie
Yeah nigga I keep on signing
Tamaa chanzo cha dhambi so vizuri tukaishinda
Wanaobebwa hawatambi wanajiita mabingwa
Akili nguvu tele ninazo jipange kushindana
Niite mjinga toa vigezo we mnyonyaji huna maana
Natubu kama Chiddi japo sitokei Ilala
Nasema ukweli inapobidi na uniamini kama sala
Maisha ya shida na njaa ndio chanzo cha u-ganster
Hii ni mtaa kwa mtaa kujichanganya tupo faster
Uyole, Mwanjelwa, Soweto hawakatai
Pande za ILomba, Mbaizi mpaka wanangu wa SAE
Mama John, Isanga mpaka Nonde kwa makauzu
Visu na mapanga ukionekana kavu
Uuuuuhhhhh
Calm down Bizness
Nani wa kunirudisha sasa
Calm Down




Izzo Bizness - Haina Kufeli
Альбом Haina Kufeli
дата релиза
06-10-2015




Внимание! Не стесняйтесь оставлять отзывы.