Текст песни Ball Player - Izzo Bizness
Yes
it's
fishcrub
cok
out
You
know
how
we
do
yeah
Another
one
Lamar
in
the
same
beat
We
rise
It's
fish
crub
cok
out
Izzo
b
quick
racka
ngwair
What
you
say
man
(Chorus)Quick
Racka
I
galla
keep
on
moving
And
my
hood
still
sunshine
I
galla
keep
on
moving
And
my
hood
still
sunshine
Cause
I
Move
like
ball
player
I
Move
like
ball
player
Cause
I
Move
like
ball
player
I
Move
like
ball
player
(Verse1)Izzo
Business
Baba
mama
wananiombea
niweze
fanikiwa
Hata
watu
wangu
wa
mbeya
hivyo
hivyo
pia
Kama
snitch
we
jipange
jipange
tena
sana
Salute
kwa
mama
mwakapange
umetulea
mama
Nimekuja
dar
sina
gheto
Ila
now
nahishi
kwangu
Day
na
mambo
mpeto
Namshukuru
mungu
Big
up
kwa
salehe
gadau
Na
beka
masonga
Kiukweli
me
sitosahu
Na
mbele
tunasonga
Plan
zipo
mpaka
Z
Ila
ndio
kwanza
nipo
plan
A
Hustle
hard
everyday
Ukinikuta
kariakoo
utasema
sio
mimi
Kwenye
pesa
toa
macho
ndio
kanuni
ya
mjini
Kama
kweli
unanckia
siku
hizi
mchongo
pesa
Hata
uwe
mbaya
wataaminia
Masister
doo
utawatesa
utaitwa
handsome
Hatakama
sura
mbaya
Hii
ndio
daslam
unakana
kwenu
huna
haya
Eti
am
Flexin
everyday,
Nigga
unajikuta
Mike
Kimei...
(Chorus)Quick
Racka
I
galla
keep
on
moving
And
my
hood
still
sunshine
I
galla
keep
on
moving
And
my
hood
still
sunshine
Cause
I
Move
like
ball
player
I
Move
like
ball
player
Cause
I
Move
like
ball
player
I
Move
like
ball
player
(Verse2)Ngwair
Cowizz
Me
nahustle
hard
ndio
swagger
zangu
everyday
Big
beats
zina
heat
kwa
streets
bila
dre
Kumbuka
nilizaliwa
mbeya
mwanachemba
wa
east
zoo
Mbili
ni
bora
zaidi
ya
moja
na
tatu
Ndio
dangerous
Mwanajeshi
ambaye
mpaka
usingizini
nimejikoki
Maisha
siwezi
kuyachekea
Kozi
yangu
sio
ya
joti
Me
huu
muziki
uwa
naudai
ndio
maana
uwa
sichoki
A.k.a
mimi
bado
naimbwa
kitaani
kwa
karioke
Wakati
umezubaa
unanidis
kwa
mtaa
Mi
nafanya
business
zangu
na
quick
kwa
lamar
Kwanza
nikifika
uwa
nakunywa
navuta
kama
nipo
bar
Then
kwa
booth
natoa
sauti
za
busara
kwa
zanzibar
We
hujui
nilivyohustle
mpaka
leo
kuwa
ngwair
So
ongea
ongea
hizo
diss.com
nishazoea
Unaeza
paka
unavyotaka
me
sijali
ukininyea
We
unabeep
njoo
gheto
dogo
nitaku#*&&
(Chorus)Quick
Racka
I
galla
keep
on
moving
And
my
hood
still
sunshine
I
galla
keep
on
moving
And
my
hood
still
sunshine
Cause
I
Move
like
ball
player
I
Move
like
ball
player
Cause
I
Move
like
ball
player
I
Move
like
ball
player
(Verse3)Izzo
Business
Izzo
ndio
mbeya
Iko
wai
waulize
na
wanajua...
Haifichi
iko
wazi
we
dafu
na
nakufua
Salute
kwa
kaka
zetu
japo
wachache
wenye
love
Hawatupendi
si
wa
sasa
kumbe
kisa
cha
kipumbavu
Kurudi
kweli
ntarudi
ntarudi
kusalimia
Hapa
kazi
sala
juu
ukibana
basi
utaumia
Huu
muziki
sijaanza
juzi
usipagawe
me
nashine
Muuza
nyago
zako
makuzi
Usijaribu
kucombine
Mishe
mishe
hustle
hard
kama
kawa
Mbeya
niwavalishe
hawa
waduanzi
wanapagawa
Demu
wako
shabiki
wangu
kisa
kipi
sasa
we
unanuna
Itakuaje
sasa
akisafisha
rungu
si
utaomba
nirudi
mazima
Am
music
enteprenuer
You
can
call
me
izzo
businaa
Wasap
yaya
Salute
kwa
washua
kwa
kunikuza
me
Wanafki
wanaochonga
me
sawasikii
Izzo
naongeza
bidii
(Chorus)Quick
Racka
I
galla
keep
on
moving
And
my
hood
still
sunshine
I
galla
keep
on
moving
And
my
hood
still
sunshine
Cause
I
Move
like
ball
player
I
Move
like
ball
player
Cause
I
Move
like
ball
player
I
Move
like
ball
player
I
move
like
ball
player...
(Repeat
till
fade)
1 Bussiness
2 Barua
3 Ridhiwan
4 Ball Player
5 Tenzi Za Mapenzi
6 Love Me
7 Utarudishwa Mbeya
8 Mwaka Jana
9 Tummoghele
10 Rizi One
11 Walala Hoi
12 Kidawa
Внимание! Не стесняйтесь оставлять отзывы.