Moja haikai mbili haikai mbaya wako ni jirani babu
(
One is not good two is not good problems are like the lady next door
(
Walala hoi) x
4
Walala hoi) x
4
Tunaunga unga maisha yetu ni safari bado tunataabika
(
We support each other life is a journey we still suffer
(
Walala hoi)
/ tunakomaa maisha ni safari imani ipo bado sisi mbali tutafika
(
Walala hoi)
/ where we go life is a journey faith is still there we are far we will get there
(
Walala hoi)
/ tumazaliwa kwenye njaa njaa imetulea sisi home mali hatujakuta
(
Walala hoi)
/ we are born with hunger hunger has brought us up at home we have not found property
(
Walala hoi)
/ mama Yanga baba Simba upinzani babu ndani yani kila dakika
(
Walala hoi)
/ mother Yanga father Simba opposition daddy inside yani every minute
(
Walala hoi)
/ kupinda ni sheria usishangae huku kwetu mbona imeshazoeleka
(
Walala hoi)
/ bending is the law do not be surprised here at our place why is it that it is already accustomed
(
Walala hoi)
/ hatujasoma dili chafu leta pesa babu hata iwe dili ya kuteka
(
Walala hoi)
/ we have not studied dirty deal bring money daddy even if it is a kidnapping case
(
Walala hoi)
/ tunaonekana hatuna maana tunatengwa kona zote twa dharaulika
/ majina yote sisi Vidampa wapumbavu wezi majambazi yote wametupachika
/ Rhumba kali wewe utadata/ soma pata ondoa shaka/ faster umenipata chafu tatu maisha karata/ maisha bondi kukosa na kupata
/ jela nyummbani hakuna kuogopa sheli tunamoka/ sisi machizi kama kaboka/ uchungu wa meno na kucha kamuulize Ulimboka
/
Walala hoi)
/ we seem to be meaningless we are separated in all corners we are despised
/ all names we Vidampa fools thieves bandits all they have given us
/ Rhumba hard you will date/ read get rid of doubt/ faster I have got you dirty three life cards/ life bonds to lack and to get
/ prison at home there is no fear of shells we are collapsing/ we are crazy like a pumpkin/ toothache and nail ask Ulimboka
/
Roba za mbao mtaani ni nani kaleta?
(
Who brought the wooden quarters to the streets?
(
Walala hoi)
/ kulogana logana tu bila sababu mtaani?
(
Walala hoi)
/ just to fight in the streets for no reason?
(
Walala hoi)
/ majungu fitina unafiki umbea na chuki?
(
Walala hoi)
/ gossips rumors hypocrisy backbiting and hatred?
(
Walala hoi)
/ kazi ngumu tunapigika lakini ujira ni mdogo babu
(
Walala hoi)
/ we struggle with hard work but the pay is small daddy
(
Walala hoi)/ toa kazi tumalize hatulazi kitu hapa sisi mwendo ni wa CHAP-CHAP/ kwenye Bar hatukai zetu vilabuni yes sisi mwendo ni MATAPU-TAPU
/ bila sababu tunakudiss tukijua umetuzidi sisi wala hatukukwepeshi
/ chuki roho mbaya jadi yetu Mungu hapendi lakini sisi tumerithi
/ kila time tupo simple watu wa Mingle mawazo yetu kwenye Bingo dr.
Walala hoi)/ take the job let's finish we don't do anything here our speed is CHAP-CHAP/ we don't stay on our bars in clubs yes our speed is MATAPU-TAPU
/ for no reason we diss you knowing that you have passed us we do not avoid you
/ hatred bad spirit our tradition God does not like it but we inherited it
/ every time we are simple mingling people our thoughts on Bingo dr./
Kingo ngoma zetu ni Segere na Msondo
/ sisi ndio wachezeshaji tuite Redondo
/ Rest in Peace James mtoto wa Dandu
/ hii game bado kwako japo upo kando
/ big brother the Chase muulize Nando
/ kama Zay-B vile watu wapo gado
/
Kingo our drums are Segere and Msondo
/ we are the dancers call it Redondo
/ Rest in Peace James son of Dandu
/ this game is still for you although you are aside
/ big brother the Chase ask Nando
/ like Zay-B people are on the line
/