Текст песни Miaka - Jua Cali
Miaka
moja...
Na-breathe
hewa
yangu
ya
kwanza
nimezaliwa
Miaka
mbili...
Meno
zinanitoka
chakula
nateremsha
na
maziwa
Miaka
tatu...
Niko
poa
kutembea
mathee
leo
tunaenda
wapi?
Miaka
nne...
Nimeanza
kujuana
na
watoi
wengine
age
yangu
hapa
mtaani
Miaka
tano...
Napelekwa
nursery
nalia
mathee
usiniache
hapa,
usiniache
hapa
Miaka
sita...
Najikuta
kwa
fight
yangu
ya
kwanza
lakini
huu
mkiddy
ananichapa
Miaka
saba...
Naingia
primo
kwenye
uniform
naskia
raha
Miaka
nane...
Nishajua
kuandika
nipe
biro
ni
vile
si
hufanya
Miaka
tisa...
Nachimba
mguu
yangu
vibaya
nikicheza
ball
mguu
tupu
Miaka
kumi...
Natulia
kejani
wiki
tatu
mwanaume
nipe
supu
Miaka
kumi
moja...
Naanza
kuenda
roundi
za
dush
na
za
mbaa
Miaka
kumi
mbili...
Napeleka
beta
high
speed
inanibamba
Miaka
kumi
tatu...
Diwali
inafika
lipua
watu
na
baruti
Miaka
kumi
nne...
Haiya
nini
hizi
zinamea
karibu
na
mkuki?
Miaka
kumi
tano...
Mono
lakini
siku
ya
kwanza
tuna-skive
chuo
Miaka
kumi
sita...
Jioni
jam
session
na
hizo
nguo
Miaka
kumi
saba...
Ndoto
za
maji
zinanisumbua
Miaka
kumi
nane...
Chuo
kwisha
mtu
mzima
ID
nachukua
Miaka
kumi
tisa...
Mkulima
napalilia
kwa
mara
ya
kwanza
Miaka
kumi
kumi...
Naingia
kejani
natoa
noma
huku
niki-stagger
Miaka
mbili
moja...
Naingia
industry
natoa
ngoma
yangu
ya
kwanza
Miaka
mbili
mbili...
Eh,
kumbe
show
huwa
ngumu
hivi
kupata
Miaka
mbili
tatu...
Naingia
colle
si
kuna
watoto
huku
Miaka
mbili
nne...
Sina
fare,
sina
lunch
maisha
ngumu
Miaka
mbili
tano...
Wacha
niende
inda
nione
ka
ntaangukia
Miaka
mbili
sita...
Eh
hamsini
jioni
Mumbi
si
unaniumiza
Miaka
mbili
saba...
Haidhuru
mtu
wenu
wa
nguvu
anatia
bidii
Miaka
mbili
nane...
Champagne
wapi
naenda
MTV!
Miaka
hamsini...
Niko
club
nazitoka
Miaka
soo...
Viagra
bado
naziokota

Внимание! Не стесняйтесь оставлять отзывы.