Kassim Mganga feat. Christian Bella - Subira текст песни

Текст песни Subira - Christian Bella , Kassim Mganga



Wasikitika usije kuvunja shingo iyo mama
Na uko kusononeka usije ita mapaka leo
Wakaja kukuparula
Ukapoteza uzuri wako
Na ukija ukiolewa
Usipendeze kwa mume wako ooh
Aiya iya iya aaa
Na ujichunge saana
Maana, utajichakaza
Na uepuke sana ujana
Maana utakuchakaza
Subira subira yako maiyo
Ipo mikononi mwake mola baba
Subiri subira yako mamito
Ije mikonon mwako mafungu saba
Anaetoa ni mola pekee yeye
Kwa kila goti na dua anajibu yeye
Usije itaka harusi kwa pupaa
Usije itaka harusi ukarud na talaka
Usikimbilie mume ukaukondesha moyo
Usikimbilie mume ukaukondesha moyo
X 2
Uwe na subira
Usiwe na pupa we
Mola amekuumba na sifa kede kede
Ukimwomba yeye atakusikia
Jiamn mama usiwe na mapepe
Alena mapepe
Mapepe
Mapepe
Mapepe
Yanini angali mume majaliwa
Kwanin ujichoreshe na mali yako yaliwa
Utabeba vibov upewe maradhi kukikimbilia mapenzi
Uje upate tabu uvar mavazi uyachukie mapenzi
Anayejua ni mola pekee yeye
Na kila goti na dua anjibu yeye
Usije itaka harusi kwa pupaa
Usije itaka harusi ukarud na talaka
Usikimbilie mume ukaukondesha moyo
Usikimbilie mume ukaukondesha moyo
X 2
By @mbn91



Авторы: Kassim Mganga


Kassim Mganga feat. Christian Bella - Subira
Альбом Subira
дата релиза
08-10-2015

1 Subira



Внимание! Не стесняйтесь оставлять отзывы.