Kidum - Haturudi Nyuma текст песни

Текст песни Haturudi Nyuma - Kidum



Penzi
Penzi
Penzi wewe, penzi wewe, penzi wewe
Penzi wewe, penzi wewe
Nieleze vipi mimi ntaeza kuishi bila wewe
Ukiniacha ukienda zako, penzi wewe
Kama ni ukweli yale naskia kwa majirani
Ya kwamba utakuja kwenda zako
Uliniahidi tutakuwa tukijadiliana kwa swali yangeleta utata
Kwa nini chini chini unanificha yanayo kusinya lakini unayasema kwa majirani
Kwa nini kando kando unanificha
Yanayo kuudhi lakini unayatema kwa marafiki
Ukiniacha mi ntalia
Ukienda zako ntabaki naumia
Kama ungelijua uoga ninao wa kukupoteza ndio nasema
Baby nakuomba please baki nami
Nasema penzi! Nakuomba baki tujaribu tena
Tunayo nafasi ya kuanza tena
Tunayo nafasi ya kujikosoa
Haturudi nyuma kamwe
Haturudi nyuma kamwe
Juliana we (Juliana we!)
Watu wanasema kama karibuni wewe unaoa tena
Ya kwamba nianze kujipanga
Si ukweli, nimekataa
Ni tahadhari kubwa kwangu na unanitisha sijue nimekosea wapi
Uliniahidi kama kila jambo lote la nyumbani ni muhimu kiliweka wazi
Ni kuki shenge
Uguma buri gihe umbabaza
Kandi uzi ko ngukunda
Ni kuki rukundo
Uguma untera umujinya
Ukica amatwi ngukunda ah
Ukiniacha mi ntalia! ukienda zako ntabaki naumia!
Kama ungelijua woga ninao wa kukupoteza ndio nasema!
Baby nakuomba please baki nami
Nasema penzi! Nakuomba baki tujaribu tena
Tunayo nafasi ya kuanza tena
Tunayo nafasi ya kujikosoa
Haturudi nyuma kamwe
Haturudi nyuma kamwe
Baby nakuomba please baki nami
Nasema penzi! Nakuomba baki tujaribu tena
Tunayo nafasi ya kuanza tena
Tunayo nafasi ya kujikosoa
Haturudi nyuma kamwe
Haturudi nyuma kamwe



Авторы: Kidum


Kidum - Haturudi Nyuma
Альбом Haturudi Nyuma
дата релиза
01-01-2009




Внимание! Не стесняйтесь оставлять отзывы.