Kidum - Number Moja текст песни

Текст песни Number Moja - Kidum



Namba moja yesu eh...
Asante bwana oh,
Namba moja... uuhh
Nafasi yote moyoni
Nimeshaipa kwa yesu
Ni namba moja, moja moja moja
Nafasi yote moyoni
Nimeshaipa kwa yesu
Ni namba moja moja moja moja
Nimeshatembea nimeshazunguka
Kila pahali nikifika kila kona
Nimejaribu kutafuta
Kinachoweza kuridhisha moyo wangu
Nikatangatanga mashariki na kusini
Ili mradi nitafute
Nikamanga manga magharibi kaskazini
Kupata kile ninachotaka... wimbo
Nafasi yote moyoni
Nimeshaipa kwa yesu
Ni namba moja moja moja moja
Nafasi yote moyoni
Nimeshaipa kwa yesu
Ni namba moja moja moja moja
Juhudi zangu zote zilipogonga mwamba
Nikafa moyo nikakataa tamaa
Ndiyo bwana akataka nigusa
Nikasimama nikaanza kutembea
Asante Bwana Mwokozi wangu
Nimetambua kama nimekupata
Pewa wimbo pewa sifa
Asante Yesu
Nimeshatembea nimeshazunguka
Kila pahali nikifika kila kona
Nimetambua nimekupata
Bwana Yesu Mwokozi wangu
Nafasi yote moyoni
Nimeshaipa kwa yesu
Ni namba moja moja moja moja...(Repeat)



Авторы: Jean-pierre Nimbona, Philip Kioko


Kidum - Ishano
Альбом Ishano
дата релиза
12-12-2006




Внимание! Не стесняйтесь оставлять отзывы.