Kidum - Umenikosea текст песни

Текст песни Umenikosea - Kidum



Itakua vipi mumy kuwa na wapenzi wawili
Mbona umenivunja mwenzio nateseka
Karibu niseme kifo
Umeniacha na vidonda visivyo na tibaaaaaa
Kwanini hivyo mpenzi
Nilikuamini na kukuthamini
Kukupa penzi langu bila ya kujali chochote
Sikuamini usoni wangu
Kuhusu penzi kivuli kwa nyuma ya mgongo wangu
Yaani weye umenitendaaaa
Tazama nakondaaa
Kwa sababu umeniweka kwa shida na tabu
Nimeamua kutopenda tena (kutopenda tena mamy)
Kila nikipenda mwishowe naumia umenikosea wewe... umenikosea... umenikosea wewe ...umenikosea (yeba)
Verse 2.
Kumbuka hapo mwanzoni tukipenda kwa dhati (na weweee)
Umekumbwa na tabu gani kutamani mwingineeeee
Nilifanya kosa ganiiii
Umenifanya kichwa kuruka sielewi kwanini
Kwasababu nilikupenda
Kumbe we hujanipenda nilipoteza muda
Na sasa ninajuta yoooo
Unapenda mwingineee
Mimi umenitumiaaaa
Umevunja roho yanguu ikapasuka
Umenitenda yooo
Tazama nakonda ooooh
Kwasababu umeniweka kwa shida na tabu
Uuuuuh uuuuuuuh
Nimeamua kutopenda tenaaaaaaa (kutopenda tena mamy oooh)
Kila nikipenda mwishowe naumiaaaa
Umenikoseaa wewe...(mwishowe yoo)
Umenikoseaaa
Umenikosea wewe
Umenikoseaaaa (yebaa) ×2



Авторы: Nimbona ''kidum'' Jean-pierre


Kidum - Ishano
Альбом Ishano
дата релиза
12-12-2006




Внимание! Не стесняйтесь оставлять отзывы.