Текст песни Gere - Kilimanjaro Band
Gere
mama,
Gere
mama
Gere
mama,
Gere
mama
Wananionea
ya
Gere
Watausaga
mtama
waubwie
wenyewe
Nguo
ya
kuazima
haisitiri
mwili
Nguo
ya
kuazima
haisitiri
mwili
Yale
niliyokuambia
sasa
yameshakufika
Yale
niliyokuambia
sasa
yameshakufika
Fahari
ee
ndie
mama
wa
ujinga
Fahari
ee
ndie
mama
wa
ujinga
Wewe
mtu
wa
mia
wataka
elfu
nne
Dau
lako
la
mia
wataka
elfu
nne
Kitenge
umeunguza
mwenyewe
anakitaka
Kitenge
umeunguza
mwenyewe
ninakitaka
Umejisahau
kapu
la
uyoga
Mjima
hua
halibebi
nyama
Umejisahau
kapu
la
uyoga
Mjima
hua
halibebi
nyama
Wewe
mtu
wa
mia
wataka
elfu
nne
Dau
lako
la
mia
wataka
elfu
nne
Kitenge
umeunguza
mwenyewe
anakitaka
Kitenge
umeunguza
mwenyewe
ninakitaka
Yu
yu
yu
naumia
kitenge
changu
nakitaka
Wapita
ukiringa
na
Ukijitapa
kwa
kitenge
changu
mwenzio
Yu
yu
yu
naumia
kitenge
changu
nakitaka
Kitenge
changu
cha
thamani
Nimekitoa
mbali
mwenzio
Yu
yu
yu
naumia
kitenge
changu
nakitaka
Ninavyokithamini
na
kukihifadhi
Wewe
wakifuja
mwenzio
Yu
yu
yu
naumia
kitenge
changu
nakitaka
Kama
unaweza
tafuta
cha
kwako
Niache
changu
mwenzio
Gere
mama,
Gere
mama
Gere
mama,
Gere
mama
Wananionea
ya
Gere
Watausaga
mtama
waubwie
wenyewe
Gere
mama,
Gere
mama
Gere
mama,
Gere
mama
Unanionea
ya
Gere
Utausaga
mtama
uubwie
mwenyewe
Mama
mkwe
njoo
nikuambie
Yaliyonikunikuta
kwa
mwenzangu
Kamwambia
mume
wangu
Anipe
talaka
badala
yake
ameachwa
yeye
Iko
wapi
kibiritingoma
mwenzangu
Kwatwanga
mpunga
Amepeta
pumba
Amepika
wali
kala
mwenyewe
Gere
Mama
Gere
Mama
Gere
Mama
Gere
Mama
Gere
Mama
Gere
Mama
Gere
Mama
yangu
eee
Gere
Mama
yangu
eee
Ya
- ya
- ya
- ya
- ya
- ya
Ya
- ya
- ya
- ya
- ya
- yaaa
Sheba
Sheba
Sheba
Sheba
Sheba
Sheba
Sheba
Sheba
Sheba
Sheba
Sheba
Sheba
Sheba
Sheba
Iko
wapi
kibiritingoma
mwenzangu
Kwatwanga
mpunga
Amepeta
pumba
Warumba
Chee
(Chee)
Warumba
Henyaa
(Henyaa)
Lete
Vitu
Gere
mama,
Gere
mama
Gere
mama,
Gere
mama
Wananionea
ya
Gere
Watausaga
mtama
waubwie
wenyewe
Gere
mama,
Gere
mama
Gere
mama,
Gere
mama
Unanionea
ya
Gere
Utausaga
mtama
uubwie
mwenyewe
Gere
Mama
Gere
Mama
Gere
Mama
Gere
Mama
Gere
Mama
Gere
Mama
Gere
Mama
yangu
eee
Gere
Mama
yangu
eee
Ya
- ya
- ya
- ya
- ya
- ya
Ya
- ya
- ya
- ya
- ya
- yaaa
Sheba
Sheba
Sheba
Sheba
Sheba
Sheba
Sheba
Warumba
Mpoo!
(Tupo!)
Sheba
Sheba
Sheba
Sheba
Sheba
Sheba
Sheba
Iko
wapi
kibiritingoma
mwenzangu
Kwatwanga
mpunga
Amepeta
pumba
Warumba
Chee
(Chee)
Warumba
Henyaa
(Henyaa)
Внимание! Не стесняйтесь оставлять отзывы.