Kwame - Aki Wewe текст песни

Текст песни Aki Wewe - Kwame



Hiyo day tulipopatana baby
And I said utaja kuwa my lady someday
Ona today naku celebrate
Singing love songs
Turutuptup turu tup tururu
Wewe na mimi hapa na sasa
Ona kivuli cha mwezi
Tukitazama the stars
Wewe na mimi hapa na sasa
Ona kivuli cha mwezi
Tukitazama the stars
Baby mwah mwah
Aki wewe
Baby mwah mwah
Sikutani baby
Oh no mwah mwah
Aki wewe
Oh no mwah mwah
Aki wewe
Ushawai pendana na msichana
Mzuri Urembo tabia za furahisha
Na ukikumbuka hiyo yake sura
Huwa unakosa subira
Ukijiuliza lini tena utamwona
Si nimeelewa nimeelewa nimejua
Ukishapendaga hakuna kuchoka
Ukishapendaga hakuna mipaka
Si nimeelewa ukishapendaga hakuna mipaka
No no
Baby mwah mwah
Aki wewe
Baby mwah mwah
Sikutani baby
Oh no mwah mwah
Aki wewe
Oh no mwah mwah
Aki wewe
Aki wewe message ya love
Iki massage your heart
Nakupenda ju umekuwa nami through
Thick and thin sasa nina everything
You and me
Si kwa Mola nili kneel
Down on one knee
Nikakuvisha ring
Si siri si siri baby si siri baaaabby
Mwah mwah
Aki wewe
Mwah mwah
Si utani baby
Mwah mwah
Aki wewe
Baby mwah mwah
Si utani baby
No no mwah mwah
Aki wewe
No no mwah mwah si utani baby




Kwame - Aki Wewe
Альбом Aki Wewe
дата релиза
14-12-2015




Внимание! Не стесняйтесь оставлять отзывы.