Текст песни Historia - Lady Jaydee
Unakubalije
uwe
historia
Kabla
siku
yako
haijafika?
Iweje
leo
uwe
historia
Kabla
siku
yako
haijafika?
Muda
huo,
muda
ulikuwepo
Muda
huo
uliopewa
Hela
nazo
zilikuwepo
Hela
ulizobarikiwa
Maisha
mazuri,
nyumba
nzuri
Gari
zuri,
na
nini
na
nini
Muda
huo
uliuchezea
Pesa
hizo
ulizichezea
Kabla
hata
ya
uzee
haujaja
Wameshasema,
"Ah!
Alikuwaga!"
Unakubalije
uwe
historia
Kabla
siku
yako
haijafika?
Iweje
leo
uwe
historia
Kabla
siku
yako
haijafika?
Tena
hata,
hata
wenzio
Ulo
kuwa
nao
jana
Hata
nao
wanakusema
Mbali
na
kukucheka
Umegeuka
story,
umekuwa
mfano
Umegeuka
tukio,
sio
kivutio
Muda
huo
uliuchezea
Pesa
nazo
ulizichezea
Kabla
hata
ya
kifo
chako
Walishasema,
"Ah!
Alikuwaga!"
Unakubalije
uwe
historia
Kabla
siku
yako
haijafika?
Iweje
leo
uwe
historia
Kabla
siku
yako
haijafika?
Sitaki
leo
kuwa
historia
Labda
kesho
iwe
historia
Nataka
niache
historia
Itakapofika
kuwa
historia
Unakubalije
uwe
historia
Kabla
siku
yako
haijafika?
Iweje
leo
uwe
historia
Kabla
siku
yako
haijafika?
Unakubalije
uwe
historia
Kabla
siku
yako
haijafika?
Iweje
leo
uwe
historia
Kabla
siku
yako
haijafika?
1 Consolation
2 Historia
3 Kiboko Yao
4 Kifungoni
5 Machozi
6 Machozi Ya Furaha
7 Moto
8 Natamani Kuwa Malaika
9 Penzi la Milele
10 Siku Hazigandi
11 Siwema
12 Umuhimu Wako
13 Wanaume Kama Mabinti
14 Zaina
Внимание! Не стесняйтесь оставлять отзывы.