Текст песни Teja - Lady Jaydee
Wawezakua
kituko,
Ugeuke
kichekesho,
Wakati
mtu
mzuri,
Penzi
likakubidili,
Sumu
niliyoimeza,
Sijui
ni
sumu
gaani
Nimefanya
naloweza
Nabado
nitaabani
Nimeshakunywa
maziwa
Sumu
sijaitipika
Akili
haifikirii
Imekumbwa
kitu
gani
Nina
zunguka
zunguka
Nina
tembea
tembea
Nina
ongea
ongea
Hatasijieliwi
Aah
Nimekua
teja,
teja
wamapenzi,
ooh
nimebwia
unga
oooo
sijiwezi,
mimi
nimekua
teja,
teja
wampenzi,
uuh
nilobwia
ungwa
sijui
ni
aina
gani.
Kumbe
mapenzi
ni
sumu
Kumbe
mapenzi
uteja
Asa
yakiwa
magumu
Unageuka
kioja.
Namimi
sijifahamu
Nimeenda
kila
rehab,
Nikipona
narudia
Nakuyaaacha
nimeshindwa.
Nina
zungukazunguka
nina
tembea
tembea
nina
ongea
ongea
hatasijieliwi,
aah
nimekua
teja,
teja
wamapenzi,
ooh
nimebwia
unga
oooo
sijiwezi,
mimi
nimekua
teja,
teja
wamapenzi,
uuh
nilobwia
unga
sijui
ni
aina
gani.
Nilidhani
natafuta,
na
kumbe
ninaanguka(nmekua
teeeja)
Sumu
ilinipa
maradhi
(balaaa)
Na
bado
inanizidia,
Pesa
zenyewe
hakuna,
Na
bado
nakimbilia,
Kumbe
mapenzi
uteja,
eeeeeh
uteja.
Nimekua
teja,
teja
wa
mapenzi,
Jamani
nimebwia
unga,
ooh
sijiwezi.
Mwenzenu
nimeku
teja,
teja
wa
mapenzi,
sijui
nilobwia
unga
sijui
ni
aina
gani,
teja
nihoi
taaaban,
teja
wa
mapenzi.
teja
ni
hoi
kitandani
oooh
sijiwezi.
jamani
nimekua
teja,
teja
wa
mapenzi.kumbe
nimkua
teja
ah
aah
sijui
ni
aina
gani...
By
libero

Внимание! Не стесняйтесь оставлять отзывы.