Lady Jaydee - Joto Hasira текст песни

Текст песни Joto Hasira - Lady Jaydee



Hili joto hasira upepo hakuna
Foleni njia nzima na pesa hakuna
Hili joto hasira upepo hakuna
Foleni njia nzima na pesa hakuna
Kila siku nimenuna kwanini tunagombana
Tena tunakosoana kama tumechanganyikiwa na sioni hata maana ya sisi
Kuzinguana.
Yaani kila mtu anajua sana ... au yote sababu ya... sababu ya...
Hili joto hasira upepo hakuna
Foleni njia nzima na pesa hakuna
Hili joto hasira upepo hakuna
Foleni njia nzima na pesa hakuna
Mazao twalima wote sahani wavuta kwako
Kama chakula tule wote kwanini chote kije kwako
Kisa npini umeshik wewe vitisho kunikata mimi mmmhhhh
Au yote sababu yaa... sababu yaaa...
Hili joto hasira upepo hakuna
Foleni njia nzima na pesa hakuna
Hili joto hasira upepo hakuna
Foleni njia nzima na pesa hakuna
Uuhh sahau sahau shida ooh
Ishi ka ziliisa jana, say goodbye
Rest in peace shida knock knock money
Wenyewe wanasema usawa unakaba na rafiki wa kweli ni baba na mama
Hawa wengine wala husiwaamini maaana binadamu wa sasa wana roho saba
Watakua na wewe kwenye raha
Na hawatakua na wewe kwenye njaa
Bora nipige misele yangu peke yangu niruke
Peke yangu na uwoga niliukataa nabadilika kama saa
Na siku hazigandika na sintokata tamaa
Wamejaa usaliti na chuki watu wa karibu wanageuka mamruki
General na joto baridi naamini tutashinda.
Kama mbwai iwe mbwai barida we make more money rest in peace shida
Ukinuna unataka tunune wote ukilia unataka tulie wote vita vyako
Tunapigana wote tukishinda tushinde ama bora tufe wote kama kulima
Wote hata kupanda wote tumepanda wote kupalilia
Tumepalilia wote aaaaah nashangaa sasa mbona hatuvuni wote
Hili joto hasira upepo hakuna
Foleni njia nzima na pesa hakuna
Hili joto hasira upepo hakuna
Foleni njia nzima na pesa hakuna



Авторы: Judith Wambura Mbibo


Lady Jaydee - Siku Hazigandi
Альбом Siku Hazigandi
дата релиза
17-04-2015




Внимание! Не стесняйтесь оставлять отзывы.