Текст песни Inatosha - Lava Lava
Akinipenda
mama
inatosha
Akinipenda
baba
inatosha
Akinipenda
mama
inatosha
Akinipenda
baba
inatosha
eh
eh
Mwanzo
nilikuwa
sijui
Nilihadithiwa
na
mababu
Mwanzo
nilikuwa
sijui
mapenzi
Niliyasoma
kwa
vitabu
Sasa
nimekuwa
nimejua
mapenzi
uchizi
Yule
unayempenda
ndo
anakunyima
usingizi
Kwake
moyo
unautua
bila
ikipingamizi
Na
kesho
anakuzingua
mapenzi
ya
siku
hizi
Unatuma
message
mchana
anajibu
usiku
Unatuma
message
usiku
anajibu
mchana
Unatuma
message
mchana
anajibu
usiku
Mapenzi
unamwona
online
anachat
Na
kukujibu
hataki
Anaposti
yuko
kwa
party
na
marafiki
Sasa
niko
single
naenjoy
Niko
single
naenjoy
Mwenzenu
niko
single
naenjoy
Bora
niko
single
naenjoy
Nikitaka
kwenda
kibeach
Naenda
naparty
mpaka
asubuhi
Afu
siulizwi
ooh
Naenda
naparty
mpaka
asubuhi
Nikitaka
kwenda
tipsy
Naenda
naparty
mpaka
asubuhi
Element
samaki
samaki
Naenda
naparty
mpaka
asubuhi
Juliana
Liquidi
oooh
Ooh
shobo
(Ricardo
Momo)
Sitaki
Shobo
(Don
Fumbwe)
Ooh
shobo
(Msalimie
mkubwa
Fela
na
babu
Tale)
Sitaki
Shobo
na
mapenzi
(Don
Mendez
mahela)
Sitaki
Shobo
na
mapenzi
Bora
kila
mtu
kivyake
Mwenzenu
mi
siwezi
naona
bora
niache
Yasije
nitokea
puani
Mkingombana
kidogo
kammiss
ex
wake
Na
wanachat
na
kuview
status
zake
Wakumbushie
zamani
naa.
Makopa
kopa
wanatumiani
Emoji
za
makopa
eti
kucommentiana
Makopa
kopa
wanatumiani
Emoji
za
makopa
eti
kucommentiana
Ukiniona
nacheza
mziki
usidhani
nina
mawazo
Jamani
kuwa
single
raha
Ukiona
navuta
shisha
usidhani
nina
mastress
Wala
na
enjoy
raha
Ukiniona
nakunywa
Hennessy
usije
dhani
nina
msongo
Jamani
usingle
raha
Ukiniona
nangonga
KVANT
usije
kanihamada
Jamani
kuwa
single
raha,
niacheni
mwenzenu
Sasa
niko
single
naenjoy
Niko
single
naenjoy
Mwenzenu
niko
single
naenjoy
Bora
niko
single
naenjoy
Nikitaka
kwenda
Dubai
Naenda
naparty
mpaka
asubuhi
Kitambaa
cheupe
kwetu
pazuzi
ooh
Naenda
naparty
mpaka
asubuhi
Ka
unapepeta
msondo
ngoma
Naenda
naparty
mpaka
asubuhi
Sio
fute
fute
la
jasho
Naenda
naparty
mpaka
asubuhi
Uhuru
picky,
party
pointy
Jangwani
sea
breeze,
the
baze
tucheze
wote
Komboa
komboa
saga,
saga
kisigino
Komboa
komboa
saga,
isagie
kwa
juu
Komboa
komboa
saga,
sagia
kwa
chini
chini
Ah
ah
ah,
saa
hivi
inatakiwa
tusage
viuno
jamani
Aya
twende,
komboa
komboa
saga
Shikilia
dera
Komboa
komboa
saga
Zungusha
acha
kumwera
Komboa
komboa
saga
Kata
tutunze
mahela
Akinipenda
mama
inatosha
(Kwa
Mix
Lizer)
Внимание! Не стесняйтесь оставлять отзывы.