Lava Lava feat. Diamond Platnumz - Far Away текст песни

Текст песни Far Away - Lava Lava , Diamond Platnumz



Oh baby si unajua nakupenda
Ila moyo wangu mdogo
Usijepanda ka basikeli
Oh baby penzi usije lipepeta
Ukalipa kisogo, wakaja kunikejeli
We ndo sweety, my sheri coco (Sheri coco)
Utamu pipi, mapocho pocho (Pocho pocho)
Kitandani kwichi kocho kocho (Kocho kocho)
Raha na dhiki msoto msoto (Msoto msoto)
Eeh penzi tuchunge chunge asiingie shetani
Wapigazo kofi mbuge wakaa barazani
Wenye domo tuchunge Mungu awalaani
Fitina zao watuongee tukwame njiani
Usiende far (Far away)
Far away, far (Far away)
Usiniache ukaenda far (Far away)
Far baby, far (Far away)
Ah hee, moyo wangu mama (Utayumba yumba)
Moyo (Utayumba yumba)
Mama moyo (Utayumba yumba)
Mwenzako moyo (Utayumba yumba)
Baby penzi kitunguu
Usinitoe machozi (Machozi)
Ukaniweka roho juu
Kuniringia mapozi (Mapozi)
Tulifanye sikukuu
Tulivalie kitozi
Kisha tudamshe Insta
Vipicha uchokozi
Usinifanye kuku wa kuchora
Siwiki wala kutaga (Kutaga)
Nikasinga kombolela
Kumbe mnacheza kibaba (Kibaba)
Nami mwanadamu kukosea yangu kaba
Nisamehe napokukera
Ndio siri ya mahaba
Yarabi penzi nisitiri (Amen)
Nivyashiriki nabadili (Amen)
Ili visokonyoko
Yasitimie wanayotabiri (Amen)
Usiku nikunje kunje nilale tavani
Kipepeo nipunge punge mambo sharukani
Kwa mganga nikufunge funge, ndele kazikani
Eti nikuchunge chunge mambo kizamani
Sa usiende far (Far away)
Far away, fararira (Far away)
Usiniache ukaenda far (Far away)
Far baby, far (Far away)
Ah hee, moyo wangu mama (Utayumba yumba)
Moyo, moyo (Utayumba yumba)
Ah moyo (Utayumba yumba)
Mwenzako moyo (Utayumba yumba)
Hee! Oneni wanaona donge
Wanaona donge hao
Wale macho kununa
Wanaona donge hao
Watazame wanaona donge
Wanaona donge hao
Wana- Wanaona donge hao
(Ayolizer!)



Авторы: Nasibu Abdul Juma Issaack, Vanessa Mdee


Lava Lava feat. Diamond Platnumz - Promise - EP
Альбом Promise - EP
дата релиза
10-04-2021



Внимание! Не стесняйтесь оставлять отзывы.