Linex feat. Diamond - Salima текст песни

Текст песни Salima - Diamond , Linex



Je-je-jey, ah-ah
The V.O.A
Tuddy Toma
(Waasafi) eh
Salima, Salima oh
Najua maisha yako yaliyumba pale ulipo wapoteza wazazi wako
Yule Salima wa jana, sio Salima wa leo
Amekua wa kujinania na kujikata tamaa
Iko wapi furaha yake
Aliyo kuwa nayo mwanzo
Iko wapi furaha yake
Aliyo kuwa nayo mwanzo
Salima nakusanze kasuru kagonga wekuye tenga tinyanya
Salima chenisange nguya yene nasoma nawe mwengee
Salima mi ni sange yule yule
Nilie soma nawe Mwenge
Zimeyayuka ndoto zako
Ulizo kuwa nazo, Salima
(Ooh Salima) mie mwenzako nakupenda
(Ooh Salima) mie nataka niwe wako
(Ooh Salima) tuwe na wana tuje penda
(Ooh Salima) niwe baba wa watoto wako
(Ooh Salima) mie mwenzako nakupenda
(Ooh Salima) mie nataka niwe wako
(Ooh Salima) tuwe na wana tuje penda
(Ooh Salima, Salima) niwe baba wa watoto wako
Naomba hiyo bahati ya kuishi nawe
Idondokee kwangu, isiende kwa mwengine
Yasije kuwa kama yale ya mla nawe hafi nawe
Yasije kuwa kama yale ya mla nawe hafi nawe
Usijikatie tamaa
Kuna wengi wana shida kuliko zako, Salima
Wanaamini kupitia yule msemo wa ridhiki hapo mbinguni kwake
Wanaamini kupitia ule msemo wa ridhiki mafungu saba, Salima ooh
(Ooh Salima) mie mwenzako nakupenda
(Ooh Salima) mie nataka niwe wako
(Ooh Salima) tuwe na wana tuje penda
(Ooh Salima) niwe baba wa watoto wako
(Ooh Salima) mie mwenzako nakupenda
(Ooh Salima) mie nataka niwe wako
(Ooh Salima) tuwe na wana tuje penda
(Ooh Salima, Salima) niwe baba wa watoto wako
Moyo unatamani yani kuwa kitambo ufungue (ufungue)
Usome jinsi gani unavyonifanya niugue, eh
Zenda huri nana uwawish uwawi nashisee
Pamoja kuherera baba utungamizi japo niulimishe
Utamu, utamu wa moyo wangu mi kupendwa nawe
Utamu, Salima tatizo mami, basi sema nielewe
Ah, Salima ooh (oh ayee)
Salima eeh (oh ayee)
Salima ooh (oh ayee)
Salima eh, eh
(Ooh Salima) mie mwenzako nakupenda
(Ooh Salima) mie nataka niwe wako
(Ooh Salima) tuwe na wana tuje penda
(Ooh Salima) niwe baba wa watoto wako
(Ooh Salima) mie mwenzako nakupenda
(Ooh Salima) mie nataka niwe wako
(Ooh Salima) tuwe na wana tuje penda
(Ooh Salima, Salima) niwe baba wa watoto wako
I feel that I'm in love with you (Salima)
I feel that my life is you (Salima)
I feel that you're the only one I need (Salima)
I'm gonna trust (Salima)
Baby I'm not perfect, but
I am going my all way
And I just want to be with you
Me and you forever and ever
(Ooh Salima) mie mwenzako nakupenda
(Ooh Salima) mie nataka niwe wako
(Ooh Salima) tuwe na wana tuje penda
(Ooh Salima) niwe baba wa watoto wako
(Ooh Salima) mie mwenzako nakupenda
(Ooh Salima) mie nataka niwe wako
(Ooh Salima) tuwe na wana tuje penda
(Ooh Salima, Salima) niwe baba wa watoto wako
Watoto kedekede (Salima)
Na watoto kedekede (Salima)
Shemeji mchange wandese tanisaidia (Salima)
Salima, Salima, Salima



Авторы: Nasibu Abdul Juma Issaack, Linex


Linex feat. Diamond - Salima
Альбом Salima
дата релиза
17-03-2015

1 Salima



Внимание! Не стесняйтесь оставлять отзывы.