Lulu Diva - Amezoea текст песни

Текст песни Amezoea - Lulu Diva



Chupa hung'ati kwa meno
Naomba akupe salama
Domo kama msumeno
Ya nani huyafahamu
Tena fundi wa methali, kwenye kaanga
Gumanishi machachali kila kaanda
Ana mapepe mwenzenu mpe peni
Katumwa pete, kaleta licheni
Kali kama cheche, hushinda vijiweni
Bingwa wa mikweche, jamvi la wageni
Tena kijino pembe (amezoeaaa)
Ni hodari wa kuwanga
Si shilingi wala mwenge
Vunja nazi njia panda
Waje na matarumbeta tumchambe
Kigoda leta mkeka tumchambeee
Vijicho vyatetemeka tumchambe
Mwenye nyama za kunenepa tumchambee
Cha kwazima hakisitiri,
Wako mwili
Ungeghairi tusingejadili
Wapanga mipango na shoga zako
Ati mi natembea na danga lako
Wambie mi si saizi yako
We skuna rafiki wako koko
Ugomvi kutwa njiani kama jogoo
Wanaume hawakutamani una kasoro
Ana mapepe mwenzenu mpe peni
Katumwa pete, kaleta licheni
Kali kama cheche, hushinda vijiweni
Bingwa wa mikweche, jamvi la wageni
Tena kijino pembe (amezoeaaa)
Ni hodari wa kuwanga
Si shilingi wala mwenge
Vunja nazi njia panda
Waje na matarumbeta tumchambe
Kigoda leta mkeka tumchambeee
Vijicho vyatetemeka tumchambe
Mwenye nyama za kunenepa tumchambee
Babu jongo piga daku
Oooh piga daku
Abby dady piga daku
Oohh piga daku
Babu jumbe piga daku
Oooh piga daku
Chausiku piga daku oooh piga daku
Mwamtumu piga daku
Oooh piga daku
End



Авторы: Lulu Diva


Lulu Diva - Amezoea
Альбом Amezoea
дата релиза
14-02-2018




Внимание! Не стесняйтесь оставлять отзывы.