Mad Ice - Carolina текст песни

Текст песни Carolina - Mad Ice



Ni miezi sita
Tangu umeondoka
Umeniacha peke yangu natapika
Ondoka Kinyemera hata barua huja andika
Mpenzi, we eleza kile ambacho kimekukera
Sijui nikutafute wapi
Sijui nimu ulize nani
Sijui nianzie wapi, lakini najua unaniskia
Nipe ukweli wako mpenzi Carolina
Kama utarudi kuishi naomba unieleze
Carolina (Carolina)
Mwanzo ulinihaidi kuwa huto niacha
Nikajipa moyo kuwa hutonitupa
Maratu ume ondoka nakuniacha na tapika
Sasa naliya, mwenzenu yamenikuta
Kumbuka nakupenda mpenzi
Kwako mimi sina usemi
Nachotaka we urudi, niachane na haya mawazo
Nipe ukweli wako mpenzi Carolina
Kama utarudi kuishi naomba unieleze
Carolina, Carolina, Carolina...
Kumbuka nakupenda mpenzi
Kwako mimi sina usemi
Nachotaka we urudi, niachane na haya mawazo
Nipe ukweli wako mpenzi Carolina (Naomba unipe)
Kama utarudi kuishi naomba unieleze (Naomba utarudi mpenzi)
Nipe ukweli wako mpenzi Carolina (Naomba unipe)
Kama utarudi kuishi naomba unieleze
Carolina
Carolina...




Mad Ice - Maneno
Альбом Maneno
дата релиза
25-09-2007




Внимание! Не стесняйтесь оставлять отзывы.