Marioo - Ifunanya текст песни

Текст песни Ifunanya - Marioo



Black
Baby nipe mim tuu, vile vya uvungini
Mwenzio kwenye mapenzi, nishaenyeka
Nifikishe mpaka juu, mawinguni.mwenzio kwenye mapenzi
Kama rohoni sina, hata moyoni sina zaid ya wewe,
Japo wengine sina, kama nakufa acha nizikwe na wewe.
Acha nikwambie tuu, mi Siri ya moyo wangu,
Hata nikificha mboni zitaniumbua,
Acha nikuonyeshe kina na upana wa
Mapenzi yangu, na uwe wangu wa milele niwe wako
Ifunanya
Ifunanya
Ifunanya
Ifunanya
Nishapitia mengi, hadi nusu nijipige kitanzi nikachoropoka,
Ile kutapatapa kama mufa maji nikakorofoka,
Nikawa natembea ukiachaa mikasa mapenzi... nakorokocha
Simanzi kutwa kucha, sijiwezii
Basi chonde chonde iwe mwisho na usije
Nikatili na haya majiraha uniuguzee... uniuguzee
Acha nikwambie tu mi Siri ya moyo
Wangu hata nikificha mboni zitaniumbua
Hata nikueneshe kina na upana wa
Mapenzi yangu na uwe wangu wa milele niwe wako
Ifunanya
Ifunanya
Ifunanya
Ifunanya
Mmm mwenzio
Ifunanya, Kwako wewe ndio sijiwezi,
Ifunanya, hata nyodo sina mbele siioni,
Ifunanya, Nakupendaga wewe tu
Ifunanya, mmh eeh mmh
The end



Авторы: Marioo


Marioo - Ifunanya
Альбом Ifunanya
дата релиза
20-12-2018




Внимание! Не стесняйтесь оставлять отзывы.