Текст песни Kongoro - Marioo
Mi
ningefanya
na
nani
Kama
usingekuwaga
wewe
Mapenzi
ningeyajuliaga
wapi
Japo
na
uzuri
wa
angani
Nami
kifaranga
we
mwewe
Na
wala
hujanifanya
kitu
mbaya
Nishapitiaga
magharibi
Nikatokeaga
mashariki
Nikachomwa
jua
na
baridi
Kusafa
sifa
kama
zako
Kwako
nimetulia
maji
kwenye
mtungi
Utake
nini
nikapambane
nikupatie
Mi
kwako
nimefika
Kigoma
mwisho
wa
reli
Ukiniacha
na
wewe
nitapururuka
nitabakia
Kongoro!
Na
si
nitakonda
nitabaki
mifupa
Kongoro!
Mwenzako
mawazo
yatanimaliza
Kongoro!
Ukiniacha
mwenzako
nitaliwa
na
upweke
Kongoro!
Aaa
yii
aaah
aah
Kwanza
nani
atatokea
Awezekano
– ndengea
Chakula
cha
usiku
nisosomo
Nisosomolee
Nani
atajua
kuniponza
ka
siko
sawa
Turumbwe
na
usahifu
aah
Nikiambiwagwa
mabaya
ya
kuhusu
wewe
Masikio
inaziba
yenyewe
Sielewagi
naona
vitu
vyajipa
vyenyewe
Kwako
nimetulia
maji
kwenye
mtungi
Utake
nini
nikapambane
nikupatie
Mi
kwako
nimefika
Kigoma
mwisho
wa
reli
Ukiniacha
na
wewe
nitapururuka
nitabakia
Kongoro!
Na
si
nitakonda
nitabaki
mifupa
Kongoro!
Mwenzako
mawazo
yatanimaliza
Kongoro!
Ukiniacha
mwenzako
nitaliwa
na
upweke
Kongoro!
Aaa
yii
aaah
aah
Kongoro!
Na
si
nitakonda
nitabaki
mifupa
Kongoro!
Mwenzako
mawazo
yatanimaliza
Kongoro!
Ukiniacha
mwenzako
nitaliwa
na
upweke
Kongoro!
Aaa
yii
aaah
aah
Mi
nitakonda
nitabaki
mifupa
Mwenzako
mawazo
yatanimaliza
Внимание! Не стесняйтесь оставлять отзывы.