Текст песни Yeye Na Marafiki - Michael Magow
Baada
ya
kuwa
peke
yangu
Na
marafiki
zangu
wote
wana
vitu
vya
kufanya
Wote
wana
plan
ukikosea
tunakukanya
Nawaita
wanangu,
nadhani
ushanimanya
Nilikua
busy
japo
nilikua
Tanzania
Kubadilikiana
huo
ni
wana
ambao
sijawahi
fanya
Sijawahi
kujua
kuhusu
wewe
Najaribu
kuleta
maana
Hata
kwa
marafiki
zangu
wa
kike
Nilikua
kama
panya
Nilipogundua
wanavutia
Nikajaribu
tendo
la
mmh
mmh
mmh
kufanya
Ni
upuuzi
nimemuacha
shawty
wangu
na
marafiki
na
ushabiki
niliokusanya
Sasa
hatuongei
sana,
ana
kwa
ana,
hata
kama
mbele
yake
najulikana
Tulikua
tukipenda
ku
chill
kando
kando
ya
beach
Mara
ya
mwisho
aliniuliza
inakuaje
muda
wote
unakua
mbali
oh
shi
Washkaji
wanauliza
session
ilikuaje
ilikua
kali
au
ilikua
normal
Mi
kijana
wa
hapa
hapa
east
Ni
yeye
tu
na
marafiki
Kila
siku
napiga
kazi
nyingine
Usiporudi
nitapata
mwingine
Mi
kijana
wa
hapa
hapa
east
Ni
yeye
tu
na
marafiki
Kila
siku
napiga
kazi
nyingine
Usiporudi
nitapata
mwingine
Hatimae
nimerudi
home
Muda
mchache
baadae
nikaanza
washa
bonge
tom
eh
Ilikua
kupunguza
stress,
kuongeza
amani
Naimani
akirudi
tutaweza
kuwa
marafiki
hata
kama
sio
kama
zamani
Ni
yeye
tu
na
marafiki
Mi
kijana
wa
hapa
hapa
east
Kila
siku
napiga
kazi
nyingine
Usiporudi
nita
tafuta
mwingine
Laaa
la
la
la
la
laaa
da
da
da
da
da
da
daah
talala
ta
uh
talalaah
ta
ah
tatala
Внимание! Не стесняйтесь оставлять отзывы.