Mr. Blue - Blue (feat. Nandy) текст песни

Текст песни Blue (feat. Nandy) - Mr. Blue



Instrunmental
B.L.U.E
B.L.U.E
Mpenzi nipe karasi niandike hizi habari,
Habari za maisha ya Game,maisha yote ya safari.
Maisha ya hatari, maisha ya shari,piga kabali
Leo ntasema mengi,litatosha hili Daftari.
Asubuhi kumekucha najikuta kwenye
Music,gain or learn hakuna tena pa ku luzi.
Rada line kila engo,nasimama ka Nyerere nikifa huzibi pengo.
Dady ananiita malengo,Mdogo ki umbo akili kama Tembo.
Beazy Babylon Bengo,Msudan na Mzaramo kichwani ni sifa Lengo.
Kumi na tatu ni miaka yote nipo kwenye gemu,
Siniulize ninavyokula raha,uliza pia msoto,
So kunikuta kwenye starehe na mademu
Unanifata alafu unaniuliza habari za changamoto?
Gemu nilianza mtoto,leo nna watoto,
Mi ni mtoto nilifanya watoto wajue soko.
Kama sifa zangu zipo hamtozungumzia
Ntatulia,mwanaume hashindani na sidira.
B.L.U.E
(Say my name,say my name gal)
B.L.U.E
(Beazy Babylon, Beazy Babylon)
B.L.U.E
(Beazy Babylon, Beazy Babylon yeeeh eeh eeh)
B.L.U.E
Eeh eyeeeeh
Herisamy Rajab nambari moja shule,
Sikuamini ka masomo niliyatupa kule, ahsante Mola kwa Music,
Mama kula tule,
Promota mkwanja kwanza,
Show sifanyi bure.
Kwa pamba za Blue blue masista duu wakanikiss kiss.
Shusha tabasamu kama umenimiss miss,
Tuko pamoja uswazi na mboga saba,
Usipocheza Mapozi ataicheza Mama na Baba,
Mkiwa club si mnalewa Tilalila,
Na rolemodel wenu si ni Babylon kila(Babylon kilaaa)
Msijivunge semeni uso kwa uso,unaogopa ajari ya bodaboda na fuso.
Fanya biznez dada huwezi vagi,ulinzi uko salama cheki tagi.
Kama sifa zipo na hamtaki kuzungumzia
Nitatulia, mwanaume hashindani na sidiria wooh.
Mapozi na wee,
We na mapozi na wee.
Mapozi na weee,
We na mapozi na wee
Mapozi na wee,
We na mapozi a wee
Mapozi na weee(aaah ah aaah)
B.L.U.E
(Say my name,say my name gal)
B.L.U.E
(Bizy Babylon, beazy Babylon)
B.L.U.E
(Say my name) (Bizy Babylooon yeah eeeeh)
B.L.U.E
Bizy Babylon, Bizy Babylon am like.
Bizy Babylon,Bizy Babylon wooh
(I go by the name)
B.L.U.E
Eeeh
B.L.U.E
Bizy Babylon, bizy Babylon am like,
Bizy Babylon, bizy Babylon...
I go by the name...



Авторы: Mr. Blue


Mr. Blue - BLUE
Альбом BLUE
дата релиза
18-10-2019




Внимание! Не стесняйтесь оставлять отзывы.