Mrisho Mpoto - Chocheeni Kuni текст песни

Текст песни Chocheeni Kuni - Mrisho Mpoto



Hey, yea ooh,
Chocheeni kuni mbichi,
Moto ukoleee, ugali uive,
Mnacho taka kitokee
Alikeni mamluki,
Wakija wangojee, Mikeka wawekee
Wanachotaka kitokee.
Chochea,
Chochea,
Chochea,
Chochea,
Chochea,
Chochea,
Chochea,
Ooh Chochea,
Chochea,
Chochea,
Chochea,
Chochea,
Chochea,
Chochea,
Chochea.
WaTanzania, mwenda kwao sikuzote haogopi giza,
Acheni nirudi nyumbani, safari Imeni shindig,
Nauli zenu ntarudisha,
Mtu anatapika nyongo yake, anailamba tena anaangaliwa,
Ni Sawa na tawi kavu linapoanguka, Watu wakapiga kelele, ayaa.
Katika misimu minne ya Mwaka, tuongeze misimu mwingine WA tano, wakujishtusha.
Raha ya jamvi sikuzote ni viraka viraka.
Na dungu linamficha mlinzi WA ndege wakati WA mvua tu.
Eti, ooh, imenyesha juzi tu,
Maji sio mengi, nisubirini kule.
Ilishindikana vipi kuyapima maji kwa mti, Ndo mkawaambia Watu wavuke.
Mjomba, binadamu ni Kama ganda LA kitabu, paka umfungue maandishi Ndo uweze kumuelewa.
Eti, lililotokea mbali tufanye limepita, na haliwezi kumdhuru mwingine.
Kweli?!
Inayotaka kunyesha, hua haisubiri mawingu,
Mimi sidhani, Kama kujiponya kwa mambo mzito tubahitaji cheti kilichigongwa mhuri wa moto au mtaalamu wa magonjwa ya akili, zaidi yakutumia Neno sahau.
Unawaulizaje Watu magongo ya nini? wakati Umesema kuna nyoka!
Mjomba, wewe si Uliwapak wanja,
Ngoja wao wakupake pilipili, alafu kwenye kimbolela iwe zamu yako kuzinga.



Авторы: Mrisho Mpoto


Mrisho Mpoto - Waite
Альбом Waite
дата релиза
30-01-2015




Внимание! Не стесняйтесь оставлять отзывы.