Текст песни Sondeka - Naiboi
Usibishane
na
babu
wewe
Tunasondeka(Utamu
wa
mnazi)
Tunasondeka(Rixx)
Tunasondeka(Matatizo)
Tunasondeka(Ah
Naiboi)
Tunasondeka(ooh
Lord)
Tunasondeka(Tunarekebisha)
Tabia
ya
kuagiza
pombe
na
si
wewe
unalipa(Tunasondeka)
Umekuja
date
na
mabeste
zako
nasijawaalika(Uuh
yeah)
Njaro
za
kuingia
chumbani
mwangu
na
mlango
hujabisha
(Tunasondeka)
Unang'ara
ndula
zangu
unaziposti
kwa
Insta(Uuh
yeah)
Umenivalia
wiggy
tamu
Kumbe
ndani
ni
matuta(Tunasondeka)
Ah
kumbe
pia
haga
feki
tulidhani
una
figa
Oh
yeah
yeah
Si
watu
wana
tabia
mbaya
Si
muko
na
matabia
mbaya
Si
watu
wana
tabia
mbaya
Si
muko
na
matabia
mbaya
Tunasondeka
iyee,
Tunasondeka
Ikileta
shida
Tunasondeka
ooh
Lord,
Tunasondeka
(Tunarekebisha)
Tunasondeka
iyee,
Tunasondeka
Ikileta
noma
Tunasondeka
ooh
Lord,
Tunasondeka
(Tunarekebisha)
Amelala
mpaka
saa
tisa
ni
kama
kwangu
ni
kwao
(Ety
what!)
Na
ng'ombe
saba
na
mbuzi
sita
sijapeleka
kwao
Si
uliambiwa
shimoni
moto,
mbona
sasa
unawika?
(Unachomeka!)
Tukaambiwa
ni
shoti
moja
wee
ukichocha
ni
sita
Ambia
huyo
politician
next
time
akituona
(Kitaeleweka!)
Tangu
tukuseti
MCA
mtaani
uko
MIA
Si
watu
wana
tabia
mbaya
Si
muko
na
matabia
mbaya
Si
watu
wana
tabia
mbaya
Si
muko
na
matabia
mbaya
Tunasondeka
Tunasondeka
Maisha
ya
vipindi(Tunasondeka
aha)
Tunasondeka
Takataka
lovish(Tunasondeka
yeah)
Tunasondeka
Ati
sambaze
nieke
beti
(Tunasondeka
aha)
Tunasondeka
Break
it
down
down
down
Waambie
nimekam
Naiboi
nimekam
eeh
Mbogi
ya
Kenya
imekam
Waambie
tumekam
na
ubaya
tumekam
eeh
Mbogi
ya
Kenya
imekam
Waambie
nimekam
Naiboi
nimekam
eeh
Mbogi
ya
Kenya
imekam
Waambie
tumekam
Naiboi
nimekam
eeh
Wanaofanya
wengi
wanaojua
wachache
Tunawalainisha!
Внимание! Не стесняйтесь оставлять отзывы.