Текст песни Nimekuzoea - Nandy
(Kimambo
on
the
beats)
Aiyayayaya
aiyayayaya
Aiyayayaya
aiyayayaya
Niko
tuli
baby
Kama
maji
kwa
mtungi
Nyonga
buli
baby
Nivute
niiishi
nibaki
kishungi
Aii
zuri
baby
Nibandike
nigande
ka
gundi
Maakuli
baby
Nilishe
nishibe
kitumbo
ndindi
Unanikoleza,
unanichombeza
Unanilegeza
ai
wee
Ukianzaga
ndani
unayaweza
kitandani
Kwenye
meza
tsunami,
jeneza
ni
wee
Nakupenda,
nakuwaza
Forever
you
are,
my
boo
boo
Unipende
nikupende
we
Nimekuzoea,
nimekuzoea
Nime
nime
nime
nimekuzoea
Nimekuzoea,
nimekuzoea
Nime
nime
nime
nimekuzoea
(Aiyayayaya
aiyayayaya)
Kazoea
vyote,
kazoea
mpaka
kazoea
Kabobea
kote,
kabobea
mpaka
kabobea
tena
Nalowea
kote,
nalowea
mpaka
nalowea
Inakolea
yote,
nakolea
tamu
kukolea
tena
Nipo
katikati
nazungukwa
na
upendo
Sa
ninatokea
wapi?
Kaziba
kote
hajaacha
pengo
Wanafikaga
wapi?
Peku
bila
sendo
Mfike
saa
ngapi
vyote
tembea
kwa
wako
mwendo
Nakupenda,
nakuwaza
Forever
you
are,
my
boo
boo
Unipende
nikupende
we
Nimekuzoea,
nimekuzoea
Nime
nime
nime
nimekuzoea
Nimekuzoea,
nimekuzoea
Nime
nime
nime
nimekuzoea
Внимание! Не стесняйтесь оставлять отзывы.