Текст песни Yote Sawa - Nandy
Mimi
sio
kama
wale
Walopita
zamani
mpenzi
Ooh
niamini
mwendo
uwe
sare
Usije
nicha
njiani
mpenzi
Kule
niliona
mazito
Penzi
lilikuwaga
la
mpito
Kulalama
kulichosha
koo
Ila
nashukuru
ilinikomaza
roho
Licha
ya
kuitoa
mchangani
Sikuacha
kujipa
imani
Japo
mengi
yalinikata
maini
Nikaliwazua
na
msondona
Uzuri
haupotei
ramani
Ubaya
hauvaishwi
miwani
Nikachoka
madongo
ya
gizani
Na
mateso
ya
Sodoma
Yote
sawa,
mapenzi
mboga
nachaja
jamaa
Yote
sawa,
nimeshapata
shuruba
yakaniumiza
Yote
sawa,
wouuh
Yote
sawa
(Yote
sawa)
Tafsiri
ya
penzi
sio
kitanda
tu
Ina
mengi
juu
yake
ni
mapenzi
Sio
kama
sioni
na
sio
ushamba
boo
Kuna
wengi
niwafuate
Nilijaribu
nilipoweza
kufanya
Haikuonekana
kwangu
ikawa
aibu
Kunichombeza
kwa
sana
kumbe
ananidanganya
Licha
ya
kuitoa
mchangani
Sikuacha
kujipa
imani
Japo
mengi
yalinikata
maini
Nikaliwazua
na
msondona
Uzuri
haupotei
ramani
Ubaya
hauvaishwi
miwani
Nikachoka
madongo
ya
gizani
Na
mateso
ya
Sodoma
Yote
sawa,
mapenzi
mboga
nachaja
jamaa
Yote
sawa,
nimeshapata
shuruba
yakaniumiza
Yote
sawa,
wouuh
Yote
sawa
(Yote
sawa)
Внимание! Не стесняйтесь оставлять отзывы.