Nandy feat. Dulla Makabila - Hatujui (feat. Dulla Makabila) текст песни

Текст песни Hatujui (feat. Dulla Makabila) - Nandy , Dulla Makabila



Hatujui
Hatujui (Hatujui,Hatujui)
Ayooh Kenny
Hivi mnajua hili beat amegonga nani (Hatujui)
Na tulivyo record umeme aliweka nani (Hatujui)
Ngoma ime recordiwa studio ama nyumbani (Hatujui)
Aahh wanangu vipi chupa mnadhani ata shoot nani (Hatujui)
Siku zote kiti moto inayo uzika mwezi mtukufu
Kwanini wateja wanapunguaa (Hatujui)
Na nina hela star hivi mganga wangu mnamjua (Hatujui)
Kwanini pisi kali mimba za mastaa hawatoi
Kwanini ukikopwa ukweni huwezi kudai (Hatujui)
Kwanini wamasai chupi hawavai
Na nani amesema Nenga hanioi (Hatujui)
Wanangu mnajua nyiee mnajua nyiee (Hatujui)
Nyie mnajua kwanini msinisanue (Hatujui)
Mnajua nyiee mnajua nyiee (Hatujui)
Nyie mnajua kwann msinisanue (Hatujui)
Wanangu mnajua nyiee mnajua nyiee (Hatujui)
Nyie mnajua kwanini msinisanue (Hatujui)
Mnajua nyiee mnajua nyiee (Hatujui)
Nyie mnajua kwann msinisanue (Hatujui)
Yani leo nataka kujuaa
Nanii alioanzisha kudanga
Mnaokwenda kwa mpalange nataka kujua
Hivi ana nyumba ama kapanga
Yani siamini ninayo sikia
Hivi kweli vibonge wana vibamia
Mimi hapa Mabantu na Marioo
Mnajua kwanini tunaji chubua (Hatujui)
Wanangu mnajua nyiee mnajua nyiee (Hatujui)
Nyie mnajua kwanini msinisanue (Hatujui)
Mnajua nyiee mnajua nyiee (Hatujui)
Nyie mnajua kwann msinisanue (Hatujui)
We yule dada anavyo saula we mpaka anaboaa
Ila anacho nikosha akipata mimba anatoa
We kwanza mimba zote chini ya jua zimekusudiwa
Usiseme bahati mbaya wakati mwenywe ulivua
Kidogo mamaake Yesu anaweza akasamehewa
Lakini we chura uligongwa ukapewa bia
Shika kiuno shika na tena shika kiuno
Wanangu hili dude noma
Shika kiuno shika na tena shika kiuno
Mwanangu we dada una binua binu binu
Binu tena dada
Unabinua binu binu
Binu tena mama
We una binua binu binu
Binu tena dada
Unabinua binu binu (binu)
We mwanangu shifte
Michezo yako acha
Dicksound eeh michezo yako acha
Faridi mtu peace eeh michezo yako acha
We Stani Bakora michezo yako acha
We kumbe amenyimwa ndogo ndo maana amesusa
We twende shaku shaku
We mabawa
We mzuka ukipanda ukicheza vyovyote sawa
Wanangu shaku shaku weeh mabawa
We mzuka ukipanda ukicheza vyovyote sawa
Ata mangu mangu sawa yote sawa
Hata ukitetema sawa yote sawa
Hata ukisaula sawa yote sawa
Ata ukijibeba sawa yote sawa
Aatia tia tia tia
We producer Kenny piga guitar mwanangu
Moja mbili tatu wekaa
Eehh



Авторы: Faustina Mfinanga, Dulla Makabila


Nandy feat. Dulla Makabila - Maturity EP
Альбом Maturity EP
дата релиза
05-08-2022




Внимание! Не стесняйтесь оставлять отзывы.