Nedy Music - Amen текст песни

Текст песни Amen - Nedy Music



Amen! Amen! (Its new Aloneym pon the track)
Mmh nah nah nah, nah nah nah
Maisha safari dunia njia tunapita tu
Kiachana afadhali ongeza nia utafika tu
Walishaniomba lifti kinyonge (Iyee iyee)
Nikawapa tafu wasonge (Iyee iyee)
Wakaniita kavu mi mnyonge
Walonipa ndo wale wale wapora tonge
Kodi baba saidia
Kwenye miiba palilia
Kwenye shimo yafukia
Huenda nikapona donda
Sina nongwa (Aah), sina choyo
Nani mganga aitabiri hii nyota yangu (Aah)
Sina meno kibogoyo
Mswaki wa nini kinywani mwangu?
Wanatamani wanipige hata zongo
Kitambi cha masikini kibyongo, wana shombo
Maneno neno mengi ya uongo
Mpemba nisifike malengo, wanakaba
Amen! We omba dua kesho usichoke yatatimia
Amen! Weka yako nia Mola wako anakusikia
Amen! Fumba macho pia na amini utafanikiwa
Amen! Riziki mafungu saba na lako utafikishiwa
Walishanitangaza, sambaza
Kwa mabaya nikanyimwa mema
Wakanipakaza, kujaza
Uzuri nimenyimwa sema
Pole na unyonge wangu
Ngoja binti Juma asante sana mama
Salamu ndio natuma nakupenda sana
Kwanza moja sio ujinga
Ukiamini ipo siku utashinda
Japo wapo wanaopinga
Pambana, kazana eeh
Sina nongwa (Aah), sina choyo
Nani mganga aitabiri hii nyota yangu (Aah)
Sina meno kibogoyo
Mswaki wa nini kinywani mwangu?
Wanatamani wanipige hata zongo
Kitambi cha masikini kibyongo, wana shombo
Maneno neno mengi ya uongo
Mpemba nisifike malengo, wanakaba
Amen! We omba dua kesho usichoke yatatimia
Amen! Weka yako nia Mola wako anakusikia
Amen! Fumba macho pia na amini utafanikiwa
Amen! Riziki mafungu saba na lako utafikishiwa
Amen! Amen! Amen! Amen!



Авторы: Said Seif Ally


Nedy Music - Amen
Альбом Amen
дата релиза
23-03-2020

1 Amen




Внимание! Не стесняйтесь оставлять отзывы.