Ngwair feat. Jay Moe - Kimya Kimya текст песни

Текст песни Kimya Kimya - Jay Moe , Ngwair

Kimya kimya
Kimya kimya
Kimya kimya
Ringi ringi napigiwa simu, tone (kimya kimya)
Niko zangu Kapadona na machizi tunachoma
Nasogea pembeni niweze kuipokea (kimya kimya)
Kumbe Ngwair, yes, ebwana inakuwaje mtu mzima
Sshh, kimya kimya njoo Mbezi kwa kina Mima
Kuna bonge la party mazee la kimya kimya
Mashori wamedondoka toka State, kimya kimya
Ka vipi usiage mtu we chomoka kimya kimya
Okay, haina noma siagi mtu nachomoka (kimya kimya)
Ngoja kwanza niende home nika-change (kimya kimya)
Nipe dakika 20 mwendo wa taxi (kimya kimya)
Niambie mko pande gani, vipi nyasi tutachoma?
Sshh, jiheshimu joh, weed tutachoma
Kimya kimya, we msomeshe Kapachino kwenye kona
Akupe kitu cha Arusha, mi nnacho cha Dodoma
Usisahau kutoka bling tu, Hovak wamenisoma
Sshh, jiheshimu tayari nimeona
Wapi muhudumu, Castle (kimya kimya)
Kweli nimeamini, kweli hii ni party ya (kimya kimya)
Glass zote hewani, bila mlio cheers (kimya kimya)
Mima kanishtua ameshaandaa dinner
Kavipi twenzetu juu tukabonyee (kimya kimya)
Kisha ndo kwa Same tukamoke kiaina
Pembeni tycoon ali yaani sharo tina tina
Kama unataka kucheza basi cheza (kimya kimya)
Kama kupiga mitungi basi piga (kimya kimya)
Kuna demu umemzimia poa mfate (kimya kimya)
Hii ni party ya kimya kimya, kila kitu kimya kimya
Sshh taratibu, cheza (kimya kimya)
Sshh mbona unaharibu, cheza (kimya kimya)
Kama kinywaji kimeisha basi agiza (kimya kimya)
Kila kitu kimya kimya, hii ni party ya kimya kimya
Yeah, ndani matawi ya juu kama juu
Brazameni, sista duu mikono juu (kimya kimya)
Mawazo na Cowboy wa East Zoo (kimya kimya)
Kabla hujatingisha sema "uuh" kimya kimya
Ni nani anapiga honi si ange-park (kimya kimya)
Mwambie aache kelele nimesema mtu mzima
Hapa ni (kimya kimya) iwa Lex au Bima
Mbona huwa hawasemi huwa hata pamba wanaazima
Chini juu (kimya kimya), mziki full (kimya kimya)
Tufanye nini kitakachoendana na mood (kimya kimya)
Kuna demu namaindi kwenda kumudi (kimya kimya)
Wapi stick niende nikacheze nae pool (kimya kimya)
Ila usimpe tungi sana mpaka akazima
Ukiona anaanza kurembu tu, oil unapima
Ili uwe tambua ka ni bwawa au kisima
Kama imekaa pina ni mikasi kimya kimya
Sshh kama vipi muombe key mtoto Nina
Hamna chumba cha wageni au soo (noma noma)
Demu ananisikilizia mimi yaani poa (kimya kimya)
Mwanachemba si unaona, muda shaa unayoyoma
Usiwe na presha joh tumalize (kimya kimya)
Wala usimwambie kitu chill nae kimya kimya
Demu kadai soo, usikonde mtu mzima
Ka vipi twende tumuage tutambae (kimya kimya)
Kama unataka kucheza basi cheza (kimya kimya)
Kama kupiga mitungi basi piga (kimya kimya)
Kuna demu umemzimia poa mfate (kimya kimya)
Hii ni party ya kimya kimya, kila kitu kimya kimya
Sshh taratibu, cheza (kimya kimya)
Sshh mbona unaharibu, cheza (kimya kimya)
Kama kinywaji kimeisha basi agiza (kimya kimya)
Kila kitu kimya kimya, hii ni party ya kimya kimya
Speed 120 yaani shaa (kimya kimya)
Pini zinaongozana mbele Benz, nyuma Bima
Watu– shh! Wanabambia kimya kimya
Mpaka chumvini wanazama ile ile (kimya kimya)
Break ma holiday inner
Shh (kimya kimya)
Ka vipi tumeshafika park gari (kimya kimya)
Ngoja mi nika-check room (kimya kimya)
(Moe siti tapo-hit kwenye gari kimya kimya)
Nshalipia room kama vipi wewe zama
Yoyote akikuulize we mzuge nimezima
Okay poa usiponikuta ujue shaa (kimya kimya)
Si unajua ile kichina?
Poa, mtu mzima
Kama unataka kucheza basi cheza (kimya kimya)
Kama kupiga mitungi basi piga (kimya kimya)
Kuna demu umemzimia poa mfate (kimya kimya)
Hii ni party ya kimya kimya, kila kitu kimya kimya
Sshh taratibu, cheza (kimya kimya)
Sshh mbona unaharibu, cheza (kimya kimya)
Kama kinywaji kimeisha basi agiza (kimya kimya)
Kila kitu kimya kimya, hii ni party ya kimya kimya

Авторы: Ngwair

Ngwair feat. Jay Moe - Mikasi
Альбом Mikasi
дата релиза
17-04-2015

Внимание! Не стесняйтесь оставлять отзывы.