Nino Tz - Sawa текст песни

Текст песни Sawa - Nino Tz



Mmh ahhhhh
Lalala lalala
Mmh
Yaani sisikii sioni Mikwako taabani
Kwa penzi ulonipa janaaa
Siri ndani baayani mambo hadharanii
Kifua Sina kifuuua sinaaaa
Maneno meno yao hayazibi pengo hata sudusi Mwanyaa
Ning'ate tu nikupapo mishebo Niko radhi mwaaayaa
Aagh aah
Penzi letu sukariii
Tamu tamu hatariii
Ndoa haipo mbalii
Uwe wangu halaliii
Usipofika safarii
We nambie usijaliii
Nikuungie nauliii
Ufike utakapo darling
Nikipika si utapakua
Sawa mamaa sawaaa
Nikukupa si utachukua
Sawa Mamaaa sawaa
Nikipika si utapakua
Sawa mamaa sawaaa
Nikukupa si utachukua
Sawa Mamaaa sawaa
Waambie wazazi wakoo kwamba upo na mimii (Mimi tuuu)
Mashoga marafiki zako kwamba upo na mimii (Mimi tuu)
Na hata wasotupenda pia waambie upo na mimiiii
Ili watakapoona mi nakuoa wasiaminiiii
Umenipa Magongo mi nitembeee
Maana mwanzo walinipiga mitamaaa
Mi na wewe tuyajengee shahidi yetu awe tu Rabbaanaaaa
Kwenye 18 mi sio mzembee
Ndani ya box sihitaji Lawamaaa
Dampo sumbawanga, Pemba Tanga au
Maana dhahiri Umeniokotaaa
Penzi letu sukariii
Tamu tamu hatariii
Ndoa haipo mbalii
Uwe wangu halaliii
Usipofika safarii
We nambie usijaliii
Nikuungie nauliii
Ufike utakapo darling
Nikipika si utapakua
Sawa mamaa sawaaa
Nikukupa si utachukua
Sawa Mamaaa sawaa
Nikipika si utapakua
Sawa mamaa sawaaa
Nikukupa si utachukua
Sawa Mamaaa sawaa
Mastermix boy



Авторы: Islam Ulenje


Nino Tz - Sawa
Альбом Sawa
дата релиза
10-09-2020

1 Sawa




Внимание! Не стесняйтесь оставлять отзывы.