Текст песни Genge Love - Nonini
Ehh
najua
manze
jamaa
watoto
sana
sana
wamekua
waki
complain,
Sana
sana
wanasema
yaani
Kenyan
men
are
very
unromantic
Nasema
pole
On
behalf
of
all
the
men
out
there...
Hii
ni
genge
love...
Inaenda
kitu
ka
hii...
(Lady
Bee)
Ntakupa
jamii,
ukinijalii
Nimeapaa...
Uwe
msanii,
huna
ganjii...
Sitakuacha...
Bora
unipe
unacho
naahidi
mgenge
mi
Nimeapa...
Mapenzi
bora
yatudumu
mi
na
wee
Bila
shaka...
1 (Nonini)
Mtoto
kwangu
wewe
ni
ka
maua
nispokushughulikua
ka
kukuwekea
maji
naeza
kuua,
Nashkilia
roho
yako
fiti
ka
glasi
nisiiachilie
sabu
jo,
naeza
ivunja,
Mtoto
wee
ni
ka
thambi
au
halua,
Na
niko
sure
utamu
ya
manzi
mnaijua,
Nyuma
ya
kila
mwanaume
anaendelea
kimaisha
Kuna
mrembo
anamshkilia
anam-support
kabisa,
Manzi
wee
ni
ka
pesa
yangu
kwa
benki,
Nakuhifadhi
maisha
ya
baadaye
watoto
wengi,
Siunajua
wewe
ni
ka
track
noma
kwa
msani,
Feeling
yenye
wee
hunipa
nikiwa
studio
ndani,
Mtoto
ni
ka
hewa
ya
asubuhi
na
mapema,
Jua
ikikata
wingu
smile
yako
unacheka,
Saa
hii
una-blush
unadai
nakudanganya,
Ukweli
ni
ningependa
kuomba
hizo
mbana,
(Lady
Bee)
Ntakupa
jamii,
ukinijalii
Nimeapaa...
Uwe
msanii,
huna
ganjii...
Sitakuacha...
Bora
unipe
unacho
naahidi
mgenge
mi
Nimeapa...
Mapenzi
bora
yatudumu
mi
na
wee
Bila
shaka...
2 (Nonini)
Mtoto
wewe
ni
ka
ndai
yangu
balaa,
Vile
mimi
huishughulikia
kuiekea
tuu
hivi
ngataa,
Na
rangi
ya
power
ndio
ikae
smattaa,
Shika
hii
noti
kuja
tengeza
hataa,
Sura
nywele
shuglikia
na
vitu
kadhaa,
Ndio
niringie
ma
boy
wangu
vile
tu
umevaa,
Mtoto
najua
wewe
ni
ka
paka
yangu
ya
nyumba
Nakupapasa
mgongo,
nywele
na
sura,
Matym
unaeza
kuwa
ka
simba
wa
Tsavo,
Najua
hutaki
manzi
mwengine
karibu
na
boy
wako,
Cheki
vile
unatembea
ka
tausi
Swagger
juu
na
Maringo
nafkiria
harusi,
Mtoto
wewe
ni
ka
pete
ile
ndakuoa
nayo
Itakwama
kwa
hii
mkono
wacha
rungu
ya
nyayo
Najua
hujazoea
kuambiwa
vitu
ka
hizi,
Genge
love
ndio
una-experience
sa
hizi
(Lady
Bee)
Ntakupa
jamii,
ukinijalii
Nimeapaa...
Uwe
msanii,
huna
ganjii...
Sitakuacha...
Bora
unipe
unacho
naahidi
mgenge
mi
Nimeapa...
Mapenzi
bora
yatudumu
mi
na
wee
Bila
shaka...
3 (Nonini)
Mtoto
wee
ni
ka
gazeti
mi
huwaga
nimekusoma,
Ukinijamia
nakuangushia
joke
moja
noma,
Nishakwambia
wewe
ni
ka
vumbi
ikishakana
na
mvua,
Inanukiaga
aroma
moja
tu
ya
ki
sure,
Ndio
wewe
ma
cocoa
butter
ukishajipaka,
Mapua
yangu
kwa
shingo
tu
najipata,
Mtoto
kwangu
wewe
ni
ka
kitunguu
Unanitoaga
machozi
najikausha
tu
vigumu,
Labda
waeza
sema
jo
hii
story
haikubambi,
Hakuna
mahali
naenda
hapa
nadunga
kambi,
Jah
jah
mwenyewe
niko
sure
akikuona
yeye
hucheka,
Malaika
wanamgotea
moral!
vile
alikujenga
Kuna
vitu
mob
sana
naeza
ku
compare
nazo,
Lakini
hii,
hii
ndio
mwisho
ya
mawazo,
Wewe
ni
ka
mstari
ya
mwisho
kwa
ngoma,
Venye
ina-blend
fiti
na
inaingiza
chorus
ha...
(Lady
Bee)
Ntakupa
jamii
Ukinijalii
Nimeapaa...
Uwe
msanii
huna
ganjii...
Sitakuacha...
Bora
unipe
unacho
naahidi
mgenge
mi
Nimeapa...
Mapenzi
bora
yatudumu
mi
na
wee
Bila
shaka...
![Nonini - The Godfather](https://pic.Lyrhub.com/img/h/2/r/e/qadstyer2h.jpg)
1 Godfather (Intro)
2 Colour
3 Genge Love
4 Huyo
5 Kataa Hiyo
6 Kataa Hiyo, Pt. 2
7 Heshma
8 Kila Mmoja
9 Godfather
10 Kadhaa
11 Mziki
12 Siri Zangu
13 Kumbuka
14 Ngoma Yako
15 Godfather Record Label Grand Finale
16 Barua
17 Kadhaa, Pt. 2
Внимание! Не стесняйтесь оставлять отзывы.