Текст песни Aminia - Nyashinski
Yeh!
Niko
hapa
kuwapa
muziki
mzuri
Wako
hapa
tu
kuwa
famous
Ama
juu
waliskia
ma-rapper
hupendwa
na
madem,
bas'
Wanajiita
lyricists
kwa
hizi
interviews
Na
mimi
tu
ndio
nimetoa
lyric
video
Ika
hit
a
million
views,
how?
(Yeah)
(Nyanshinski)
(Yeah,
Cedo,
yeah)
Ati
Nyash
hii
area
si
ulikam
na
ubaya
Iko
watu
husema
heri
hata
ungekwamia
Ulaya
Umerudi
wasanii
wakaanza
kuambiwa
retire
Secular
lakini
unaandika
gospel
fire
Si-live
a
lie
Najua
nta-sound
kama
niko
ma
drei
But
juzi
walai
Nilipanda
matatu
na
Trey
na
siuzi
mayai
Nimetoka
mbali
aisee
na
siishi
Rongai
True
story!
Klepto
si
mtarudiana
lakini
Hatujai
achana
tunaruadiana
kwa
nini
Na
machali
wa
Inshalla
mi
na
vijana
wawili
Tutazidi
sana
kando
na
kukosana
niamini
Tusipimane
akili
mi
'na
kichaa
Waambie
waache
kujichokesha
ulimi
Mi
ndo
teacher
Enyewe
manze
wataacha
lini
kujichocha
Juu
ni
clear,
tukisimama
Hao
na
mimi
mi
ndio
mnaprefer
Aminia
Oh,
na-na-na-na-na
Aminia
Oh,
na-na-na-na-na,
eh
Aminia
Oh,
na-na-na-na-na,
eh
Aminia
Oh,
na-na-na-na-na,
eh
Aminia
Ah-ah-ah-ah-ah,
yeah
Aminia
Ah-ah-ah-ah-ah,
yeah
Aminia
Ah-ah-ah-ah-ah,
yeah
Aminia
Kuna
tenje
yangu
fulani
heri
ibaki
mteja
tu
Au
nikitoka
niachange
kwa
keja
tu
Najua
ikilia
ni
mtu
anataka
favour
tu
Kila
converstation
ni
ka
Deja
Vu
Maisha
imejaa
na
watu
fake
si
uongo
Na
visu
zakunidunga
nkiwageuzia
mgongo
Washa
sense
ntakafunga
so
wananyemelea
Siezi
afford
kumwaga
unga
najitegemea
Sieki
imani
kwa
binadamu
mimi
Naeka
imani
kwa
God
si
kwa
sanam
mimi
Ah,
ka
s'kupendi
s'kufichi
No
pretending
hata
simu
zenu
mi
sishiki
N'kuwe
pissed
kwa
nini
Siko
pissed,
niamini
mi
niko
bien
Na
go
through
vitu
real
ka
nyinyi
mimi
pia
Maybe
tu
argue
beats
au
beer
Hatuezi
argue
iko
rapper
anatoa
hits
ka
mimi
Aminia
Oh,
na-na-na-na-na
Aminia
Oh,
na-na-na-na-na,
eh
Aminia
Oh,
na-na-na-na-na,
eh
Aminia
Oh,
na-na-na-na-na,
eh
Aminia
Ah-ah-ah-ah-ah,
yeah
Aminia
Ah-ah-ah-ah-ah,
yeah
Aminia
Ah-ah-ah-ah-ah,
yeah
Aminia
Philosophy
yangu
ni
don't
worry
chema
chajiuza
Sijieki
na
Don
Larry
ama
Martin
Luther
Nani
huyo
asiyenenwa
na
interview,
sio
mimi
Nikianza
hii
kitu
ni
watu
wa
few
waliamini
Nabii
akosi
heshima
ispokuwa
kwa
nchi
yake
Kwa
jamaa
zake
na
nyumbani
mwake
Nabii
akosi
heshima
ispokuwa
kwa
nchi
yake
Kwa
jamaa
zake
na
nyumbani
mwake
Hii
ni
ya
kila
mtu
nishauliza
ka
anapenda
rap
Akaniambia
ako
50-50,
yeah
Kila
mtu
ana
consider
kuingia
hii
biz
ya
mziki
But,
ameambiwa
ati
mziki
hailipi
Kukopa
juu
ni
passion
basi
kazi
hata
Ka
we
ni
rapper
ati
juu
ni
fashion
Hatukutaki
hapa
Hii
ni
ya
msanii
hulalanga
nje
na
guitar
Anaimba
for
free,
saa
hii
Na
ataendelea
hata
ka
anajua
ata
hajalipwa
Yeah!
Hii
ni
kwa
mtoi
yeyote
ako
na
dream
Siku
moja
joh
niwewe
wataita
King
Jione
umepanda
stage
na
umeshika
Usiwai
sahau
mahali
umetoka
juu
umefika
Aminia
S'choki,
s'choki,
s'choki
Style
mingi
kushinda
menu
ya
kinyozi
(Aminia)
Naeza
fly
wengine
hawatoshi
(Aminia)
Aminia,
aminia,
aminia
(Aminia)
Ah-ah-ah-ah-ah,
yeah
Aminia
Ah-ah-ah-ah-ah,
yeah
Aminia
Ah-ah-ah-ah-ah,
yeah
Aminia
Aminia
Внимание! Не стесняйтесь оставлять отзывы.