Добавлять перевод могут только зарегистрированные пользователи.
Hicho
kioo
haukiitaji,
na
hizo
make-up
sio
lazima
You
don't
need
this
makeup
and
you
don't
need
that
makeup
stuff
Unachovaa
haijalishi
Whatever
you
have
on,
it
doesn't
matter
Oh,
Machoni
mwangu
unakamilka
Oh,
you're
perfect
in
my
eyes
Nakupenda
sina
mfano
I
love
you,
I
have
no
one
like
you
Zaidi
ya
hizo
nguo
uvaazo
Your
thoughts,
fashion,
and
imaginations
Vipodozi
na
manukato
Make-ups
and
perfumes
Nyele
na
hata
pia
rangi
yako
Hair
and
even
your
skin
color
Nacho
hitaji
penzi
lako
na
nimeridhika
I
need
your
love
and
I'm
satisfied
Na
hao
wapinzani
wako
hawana
hathari
yoyote
And
those
rivals
have
no
effect
Oh,
oh,
usikose
usingizi
Oh,
oh,
don't
lose
sleep
Niamini
nikisema
nakesha
kazini
Believe
me
when
I
say
I've
been
working
nights
Fikra
zako
zisiende
mbali
Don't
think
of
anything
Niko
jembe
mwenzio
I'm
your
working
partner
Maana
wewe
ni
yule
yule,
yuuule
Because
you
are
the
same,
the
same
Nisipokuona
naugua,
aah
I
get
sick
when
I
don't
see
you
Nakupenda
vile
vile,
viiile
I
love
you
just
the
same
Penzi
langu
halijapungua,
aah
My
love
for
you
hasn't
diminished
Bado
nikikuona
nahisi
dejavu
I
still
feel
deja
vu
when
I
see
you
Roho
unairusha
juu
juu
You
send
my
soul
soaring
Oh,
magoti
yanaisha
nguvu
Oh,
my
knees
are
weakening
Oh,
boo
boo
I
love
you
Oh,
baby,
I
love
you
Bado
nikikuona
nahisi
dejavu
I
still
feel
deja
vu
when
I
see
you
Roho
unairusha
juu
juu
You
send
my
soul
soaring
Oh,
magoti
yanaisha
nguvu
Oh,
my
knees
are
weakening
Oh,
boo
boo
I
love
you
Oh,
baby,
I
love
you
Na
asili
yako
siwezi
ieleza
And
I
can't
explain
your
nature
Mi
naona
wengi
ila
hamfanani
I
see
many
but
you're
not
alike
Wewe
hauku
umbwa
ulitengenezwa
You
weren't
created,
you
were
made
Kwako
natua
nikafanya
makazi
In
you
I
land
and
live
Nao
kando
yako
bado
unajihisi
And
when
you're
in
it,
you
still
feel
yourself
Na
ninajivunia,
aah
And
I'm
proud
Na
wengine
mimi
sitaki
wala
sijawai
fikiria
And
I
don't
want
anyone
else
Na
ndani
ya
hilo
rinda
unapendeza
And
in
that
robe
you
are
beautiful
Ukipita
shingo
wanapinda
When
you
pass
necks
bend
Ila
hii
ngoma
naijua
bora
But
I
know
this
dance
better
Sababu
ilonifanya
natia
fora
Because
it
make
me
and
I
shine
Wewe
ni
yule
yule,
yuuule
You
are
the
same,
the
same
Nisipokuona
naugua,
aah
I
get
sick
when
I
don't
see
you
Nakupenda
vile
vile,
viiile
I
love
you
just
the
same
Penzi
langu
halijapungua,
aah
My
love
for
you
hasn't
diminished
Bado
nikikuona
nahisi
dejavu
I
still
feel
deja
vu
when
I
see
you
Roho
unairusha
juu
juu
You
send
my
soul
soaring
Oh,
magoti
yanaisha
nguvu
Oh,
my
knees
are
weakening
Oh,
boo
boo
I
love
you
Oh,
baby,
I
love
you
Kweli
nikikuona
nahisi
dejavu
It's
true,
when
I
see
you
I
feel
deja
vu
Roho
unairusha
juu
juu
You
send
my
soul
soaring
Oh,
magoti
yanaisha
nguvu
Oh,
my
knees
are
weakening
Oh,
boo
boo
I
love
you,
eeh
Oh,
baby,
I
love
you
Nakupenda
sina
mfano
(Sina
mfano)
I
love
you,
I
have
no
one
like
you
Zaidi
ya
hizo
nguo
uvaazo,
eeh
Your
thoughts,
fashion,
and
imaginations
Vipodozi
na
manukato
Make-ups
and
perfumes
Nyele
na
hata
pia
rangi
yako
Hair
and
even
your
skin
color
Nachohitaji
penzi
lako
na
nimeridhika
I
need
your
love
and
I'm
satisfied
Nimeridhika,
mwenzio
we-eeh,
oh,
mwenzio
we-eeh
I'm
satisfied,
your
partner,
oh
your
partner
Na
hapaja
haribika
jambo
And
nothing
is
broken
Leo
hii
na
zamani
Today
and
in
the
past
Uzee
hauja
kukithiri,
mpenzi
we
Old
age
hasn't
caught
up
with
you,
honey
Bado
nikikuona
nahisi
dejavu
I
still
feel
deja
vu
when
I
see
you
Roho
unairusha
juu
juu
(juu
juu)
You
send
my
soul
soaring
(soaring)
Oh,
magoti
yanaisha
nguvu
Oh,
my
knees
are
weakening
Oh,
boo
boo
I
love
you
Oh,
baby,
I
love
you
Kweli
nikikuona
nahisi
dejavu
It's
true,
when
I
see
you
I
feel
deja
vu
Roho
unairusha
juu
juu
You
send
my
soul
soaring
Oh,
magoti
yanaisha
nguvu
Oh,
my
knees
are
weakening
Oh,
boo
boo
I
love
you
Oh,
baby,
I
love
you
Оцените перевод
Оценивать перевод могут только зарегистрированные пользователи.
Авторы: Otile Brown
Альбом
DeJavu
дата релиза
03-06-2016
Внимание! Не стесняйтесь оставлять отзывы.