Prince D - WAVUNJA MOYO текст песни

Текст песни WAVUNJA MOYO - Prince D

Hmm
Wavunja moyo hao
Niwa vunja moyo usiwape sikio
(Prince D)
Clarisse mon bébé
Usiwasikilize hao
Ni wavunja moyo ambao ulimi wao ni wa kuvunja
Usiwasikilize hao
Ni wavunja moyo ambao ulimi wao ni wa kuvunja
Na uki wasikiliza eh
Utavunja moyo ambao tumechukua muda kuijenga
Na uki wasikiliza hao
Utapoteza mali yako na wenyewe watakucheka

Hmmm
Eh pah, eh
Écoutez-Moi!
Clarisse mon bébé
Jolie Deborah
Rock'D
Usiwasikilize
Hmm
Eh pah
Usiwasikilize eh (usiwasikilize)
Usiwasikilize, eh (funga sikio lako)
Wakikujia mon bébé (enda mbali nao)
Wasukume mbali yako, mon bébé
Wakikujia, oh oh ma cherié (wakija kwako)
Lengo lao ni moja, kuharibu your ta vie
Wakikujia, oh oh ma cherié
Lengo lao ni moja, kuharibu your ta vie
(Lengo lao ni kuharibu)
Wasukume mbali ya maisha yako mon bébé
Usije kapoteze furaha yetu
Me and you (usije kapoteza furaha yetu
Mimi na wewe, enda bali nao)
Usiwasikilize hao
Ni wavunja moyo ambao ulimi wao ni wa kuvunja
Usiwasikilize hao
Ni wavunja moyo ambao ulimi wao ni wa kuvunja
Na uki wasikiliza eh
Utavunja moyo ambao tumechukua muda kuijenga
Na uki wasikiliza hao (Eighton East)
Utapoteza mali yako na wenyewe watakucheka
Usiwasikilize hao (funga sikio lako)
Ni wavunja moyo ambao ulimi wao ni wa kuvunja
Usiwasikilize hao (usiwasikie)
Ni wavunja moyo ambao ulimi wao ni wa kuvunja
Na uki wasikiliza eh
Utavunja moyo ambao tumechukua muda kuijenga
Na uki wasikiliza hao
Utapoteza mali yako na wenyewe watakucheka
Hmmm
Eh pah, eh
Funga sikio kipenzi wangu
Hao ni wabaya
Nima maadui wabaya
Wataka wakuvunje
Wanatamani wavunje penzi letu
Waime sikio
Hmmm
Eh pah, eh
Eh
Écoutez le solo, ah
Maman Miradie, ah
Clarisse mon bébé
Maman bana nanga
Uwezo Pro
Godious, eh pah
Hmm
Usiwasikilize, ah
Neema Kahinda
Bernie Baguette

Prince D - WARRIOR'S LOVE
Альбом WARRIOR'S LOVE
дата релиза
12-11-2023

Внимание! Не стесняйтесь оставлять отзывы.