Текст песни Ndivyo Sivyo - Professor Jay
Unavyodhani
Ndivyo
sivyo
Maisha
ni
safari
isiyokuwa
na
likizo
(nalikizo
yo
yo)
Naongeza
msistizo
tena
usimsahau
Mtu
mwenye
matatizo
(mama
yo
yo)
Wangapi
walikua
nazo
ona
sasa
hawana
tena
Wamebaki
naviulizo
(vingi
viulizo)
Walioitwa
maskini
leo
wamezipata
imekua
ndivyo
sivyo
(Ndivyo
sivyo
sivyo
ndiyo)
Eh!
tusaidiane
kwenya
raha
na
shida
Usimdharau
mwenye
nja
kwakua
we
umeshiba
Maisha
safari
ndefu
sio
eleweka
Leo
uko
hapa
unalia
mwenzako
kule
anacheka
Usimutuze
tu
mwenye
nyumba
na
gari
Kumbuka
umaskini
na
utajiri
zote
hadhi
Unavyodhani
ndivo
sivyo
sivyo
ndivyo
Dunia
hivyo
ndilivio
kuna
rah
na
matatizo
Kama
leo
umepewa
basi
mushukuru
mumba
Kama
umekosa
ongeza
bidi
na
sio
ndumba
Mwenzio
akiwa
ana
thama
murushie
kamba
Sikia
kilio
cha
watu
wazima
Bongo
Mpaka
Uganda!
Unavyodhani
Ndivyo
sivyo
Maisha
ni
safari
isiyokuwa
na
likizo
(nalikizo
yo
yo)
Naongeza
msistizo
tena
usimsahau
Mtu
mwenye
matatizo
(mama
yo
yo)
Wangapi
walikua
nazo
ona
sasa
hawana
tena
Wamebaki
naviulizo
(vingi
viulizo)
Walioitwa
maskini
leo
wamezipata
imekua
ndivyo
sivyo
(Ndivyo
sivyo
sivyo
ndiyo)
Never
under
estimate
And
learn
to
appreciate
No
matter
situation,
persevere
and
tolerate
Don't
get
hooked
by
the
bait
Life
is
life,
no
matter
what
the
time
and
date
Take
a
little
more
time,
sit
and
concentrate
It's
J.
Chameleone,
Professor
in
a
new
duet!
Unavyodhani
Ndivyo
sivyo
Maisha
ni
safari
isiyokuwa
na
likizo
(nalikizo
yo
yo)
Naongeza
msistizo
tena
usimsahau
Mtu
mwenye
matatizo
(mama
yo
yo)
Wangapi
walikua
nazo
ona
sasa
hawana
tena
Wamebaki
naviulizo
(vingi
viulizo)
Walioitwa
maskini
leo
wamezipata
imekua
ndivyo
sivyo
(Ndivyo
sivyo
sivyo
ndiyo)
Unaedhani
ana
afya
kumbe
ndio
ana
ngoma
Usimini
kila
kitu
ambacho
macho
yaona
Wangapi
wana
magari
na
kumbe
yote
ya
mkopo
Benki
ikiwadai
wanarudi
kwenye
msoto
Usi
ishi
kwenye
ndoto,
maisha
upange
wewe
Anapanga
ama
nani
muombe
ili
upewe
Usimdharau
mtu
kwa
kua
yeye
yuko
simple
Kumbe
akili
yake
ina
nguvu
zaidi
ya
kingkong
Mama
yoooo!
Munno
bwolaba
talina
muwe
Plani
Tomukuba
mgongo
omulanga
Bisiraani
Oyo
gwonyoma
nti
talina
Plani
Ebyensi
bikyuka
mungu
yayina
Mizani
Tonyoma
njala
gweluma
talina
musango
Toduulira
mwavu
tomukuba
mugongo
Ani
yali
amanyi
nti
ndikuba
ebidongo
Maisha
kama
kamari
bora
itumie
ubongo
Unavyodhani
Ndivyo
sivyo
Maisha
ni
safari
isiyokuwa
na
likizo
(nalikizo
yo
yo)
Naongeza
msistizo
tena
usimsahau
Mtu
mwenye
matatizo
(mama
yo
yo)
Wangapi
walikua
nazo
ona
sasa
hawana
tena
Wamebaki
naviulizo
(vingi
viulizo)
Walioitwa
maskini
leo
wamezipata
imekua
ndivyo
sivyo
(Ndivyo
sivyo
sivyo
ndiyo)
Unavyodhani
Ndivyo
sivyo
Maisha
ni
safari
isiyokuwa
na
likizo
(nalikizo
yo
yo)
Naongeza
msistizo
tena
usimsahau
Mtu
mwenye
matatizo
(mama
yo
yo)
Wangapi
walikua
nazo
ona
sasa
hawana
tena
Wamebaki
naviulizo
(vingi
viulizo)
Walioitwa
maskini
leo
wamezipata
imekua
ndivyo
sivyo
(Ndivyo
sivyo
sivyo
ndiyo)

Альбом
Hapo Vipi
1 Kamili Gado
2 Sauti Zafanana
3 Hapo Vipi
4 Nikusaidieje
5 Njoo
6 Ndivyo Sivyo
7 Zali La Mentali
8 Niamini
9 Kikao Cha Dharula
10 Promota Anabeep
11 Hello
Внимание! Не стесняйтесь оставлять отзывы.