Текст песни Njoo - Professor Jay
Yeah
yeah,
ebwana
ee
mziki
mnene
skizeni
(Its
yo
guy)
Hahaa
Toka
bongo
Daresalaam
mpaka
Nairoberry
Yeah
yeah
Profesa
Jay,
Nyashiski
baby
Mskie
mskie
Utakataaje
nakuita
njoo,
Utakataaje
nakuita
njoo,
Utakataaje
nakuita
njoo,
(Yeah
Profesa
Jay
waharibie)
Nimekuchagua
wewe
kubali
kuwa
mwenzangu,
Nakuita
njoo
kama
unasoma
hisia
zangu,
Staki
kuona
moyo
wangu
unataka
pasuka,
Nakuita
mbona
binti
mrembo
unataka
kuruka.
(Njooo)
Nakuita
wewe
njoo
karibu
nami
unantia
kiwewe
njoo
ue
wangu
mwandani,
Siwezi
kukuahidi
vitu
nisivyo
viweza
Nakupenda
wewe
ndicho
kitu
ninacho
kueleza,
Najua
kumuamini
mtu
hii
yataka
moyo,
Skiza
basi
mbona
hufanani
na
wenye
choyo
ini
mkalia
nyongo,
Kope
mkonyeza
nyuso,
Kuja
karibu
yangu
ni
kunitolea
nuksi
aah
Come
on
maa
Sikia
nakuita
njoo
Sipo
kwenye
uhuni
wala
usiniite
yoyoo,
Njoo
kwenye
furaha
upendo
mwingi
na
Raha
malkia
wapekee
mwenye
mng'aro
wa
taa
Mwili
unakufa
ganzi,
Moyo
mpaka
fikra
Roho
yangu
iko
wazi
tayari
kuibusu
kibra
Nakuita
njoo,
njoo
baby
acha
kusita,
Ni
mimi
wako
sauti
yangu
inakuita,
Aya
mapenzi
wala
si
uwanja
wa
vita
Njoo
njoo
njoo
Nakuita
njoo,
Niaje
baby,
nikuita
utaitika,
ukisita
nakuita
tena
boo,
Njoo,
njoo,
njoo
njoo.
Hahaa,
game
over
Sitaki
vicheche
nakutaka
wewe
madam
Ahaa
Tupande
ndege
twende
Daresalaam
Hahaa
yeah
Unaonaje
uplan,
Make
me
yo
number
one
(Yeah
shiski)
Hata
wakikushow
usikae
na
mii
usidate
celebrity
Mapenzi
kwa
binadamu
si
necesite
hata
mi
nina
mahitaji
nahitaji
Timiza
kunabaridi
joh
silali
nimeacha
Wazi
madirisha
nikiwa
chini
nilete
juu
Sister
duu
nina
mapozi
na
we
ile
design
ya
Mr.
Blue
Sjui
nitembee
maili
8 nikslim
nikushed
Juu
bado
hupatikanii
yo
my
sweet
big
baby
boo
Im
just
joking
dada
come
to
me
Slight
hold
you
manzi
but
actually
naeza
picture
we
Na
mimi
on
a
nice
jumapili
smoking
ganja
kwa
balcony
Hauna
bus
fare
usijalii
bado
me
ntawalk
With
you
kaa
money
na
patron
na
big
pin
eeh
Basi
ataivo
watajam
wakiskia
uko
inlove
na
me
lakini
hawatakuona
Tukienda
Zanzibar
honeymoon
tukikaa
kwa
beach
na
vinywaji
kaa
malibu
Tukinasa
kili
na
matawi
za
mariju-ana
ulizaa
Juu
vile
si
hufanya
hahaha
yeah
shiskii
yeah
Nakuita
njoo,
njoo
baby
acha
kusita,
Ni
mimi
wako
sauti
yangu
inakuita,
Aya
mapenzi
wala
si
uwanja
wa
vita
Njoo
njoo
njoo
Nakuita
njoo,
Niaje
baby
nikuita
utaitika,
ukisita
nakuita
tena
boo,
Njoo,
njoo,
njoo
njoo.
King
wa
rap
haya
haya
Oya
profesa
Say
what
Nyashiski
Hahah
Nairobi
mpaka
Dar
kuna
ma
binti
ehh
Haya
basi
wacha
niwape
story
skizeni
poa
tegeni
skio
ila
me
sikondi
Kuna
idadi
ya
wanawake
mradi
nipate
mate
nimpakate
huyo
dada
kisawa
Nipate
chake
manake
mamaake
alimrithisha
na
viungo
Poa
sura
laini
matiti
hata
mat.sss...
si
amebarikiwa
Huyo
dada
mwenye
pilipili
kwa
mwili
si
siri
amefanikiwa
(fanikiwa)
King
wa
rapa
nakupa
sweeter
flow
Nakupenda
kwa
dhati
ndomana
nakuita
njoo
Anyway
Dj
alikua
anafanya
kazi
ka
kawaida
mi
hua
ndani
ya
club
mi
ni
Maji
napiga
kama
sijamsifu
atalani
sa
ni
tembo
kwa
wingi
opplosite
Sex
na
ma
mini
ts
ts
kamili
kuna
Pressure
kwa
club
mademu
ka
60
na
mi
...

Альбом
Hapo Vipi
1 Kamili Gado
2 Sauti Zafanana
3 Hapo Vipi
4 Nikusaidieje
5 Njoo
6 Ndivyo Sivyo
7 Zali La Mentali
8 Niamini
9 Kikao Cha Dharula
10 Promota Anabeep
11 Hello
Внимание! Не стесняйтесь оставлять отзывы.