Rama Dee - Kwa Akili Yangu текст песни

Текст песни Kwa Akili Yangu - Rama Dee



Nabamanya
Napambana
Naminyana
Napigana
Heee
Navutana
Natukanwa
Nashindana
Mapito vishawishi laana
Heeee
Wee
Kila siku saa nnapomuomba mungu nakuanza
Kwenye maombi yangu
Oooh baby kila siku saa nnapomuomba mungu mi nakuanza weeeh
Kwa uongo wangu
On my mind
Kwa ajil yangu
On my mind...
Kwa akili yangu weweeeh unazunguka
Zunguka kwa akili unazunguka zunguka×8
Nang'ang'ana
Naanguka nasimamaa
Naomba tena, Uzima ni power of love
Wee
Unajua sababu i do this for you
Wewee
Naona mpaka mwisho ni mimi n you
Kila siku saa napomwomba mungu me nakuanza wee
Kwenye maombi yangu
Oh baby
Kila siku saa napomwomba mungu me nakuwaza wee
Kwa uongo wangu
On my mind
Kwa akili yangu
On my mind...
Kwa akili yangu
Wewee
Kwa akili unazunguka zunguka×8
Oh mama ehh unazunguka zunguka
Verona mama kwa akili umenijaa jambo linalotufanya tuandae ya baadae
Uuuhh
Kwa moyo wangu baby
Ohhh
Unazungukaaa




Rama Dee - Kipenda Roho
Альбом Kipenda Roho
дата релиза
08-09-2017




Внимание! Не стесняйтесь оставлять отзывы.