Rama Dee - Usihofie Wachaga текст песни

Текст песни Usihofie Wachaga - Rama Dee



Sioni, hatari mbele ya penzi letu
Pendo letu, lifike mbali uh baby
Linda love, waepuke mashost wote wasio na maana.
Hapa duniani wabaya wamezidi nguvu wazuri mpenzi
Hata manabii walipigwa mawe usoni moyoni haikuathiri {mpenzi}.
Usihofie colour, gizani mwanga, I love you baby mi ndo taa
Usihofie wachaga, Wahaya mama, upendo hauchagui kabila
Hatari mola atuepue
Baraka Mola atushushie.
Na na nanana,
Na na nanana.
Maudhi yasitupitie,
Furaha kubwa ituingie.
Na na nanana,
Na na nanana.
... ...
Nkusimulie hadithi nzuri zenye muendelezo, za mahaba ufarijike.
Nkumbatie ukihisi msongo wa mawazo
Ntakushusha pressure iwe normal.
Kwani kuelewana, kushikamana,
Kuridhiana ndio nguzo imara tuepushe utata nasi tufike tomorrow.
Hivi ndivyo love, usione watu wakiishi kwa furaha wamefungua kurasa
Usihofie colour, gizani mwanga, I love you baby mi ndo taa
Usihofie Wachaga, Wahaya mama, upendo hauchagui kabila.
Hatari Mola atuepue
Baraka Mola atushushie
Na na nanana {pendo leetu, ooh love}
Na na nanana.
Maudhi yasitupitie {mimi nawee}
Furaha kubwa ituingie
Na na nanana
Na na nanana.
Hatari Mola atuepue {penzi letuu}
Baraka Mola atushushie {kheri yetuu}
Na na nanana
Na na nanana.
Maudhi yasitupitie {nuru yetuu}
Furaha kubwa ituingie {kheri yetu baby ooh!!}
Usihofie colour
Gizani mwanga
I love you baby mi ndo taa.
Usihofie Wachaga, Wahaya mama, Upendo hauchagui kabila.
. ... ... .




Rama Dee - Kipenda Roho
Альбом Kipenda Roho
дата релиза
08-09-2017




Внимание! Не стесняйтесь оставлять отзывы.